mtebetini
JF-Expert Member
- Jul 5, 2015
- 1,924
- 2,036
Hafla inafanyika wapi Muadham ZZ na lini?Wote mlioshiriki uzi huu mnaombwa kuhudhuria hafla !!
Hafla inafanyika wapi Muadham ZZ na lini?Wote mlioshiriki uzi huu mnaombwa kuhudhuria hafla !!
Lini biashara ya madawa ya kulevya itaisha Tanzania hiiHafla inafanyika wapi Muadham ZZ na lini?
Hii vita madawa ya kulevya ni kubwa sana kuipunguza sii ya kuchekeanaLini biashara ya madawa ya kulevya itaisha Tanzania hii
Pembeni mwa ki bed changu kuna kifriza lkn kimejaa azam cola na Lays tu wengine sie bado watotoKuchekeana hovyo hakitamalza vita tuweke kujuana pembeni
Sent from my TECNO_P5_PLUS using JamiiForums mobile app
Pembeni wakae wote wenye kutaka kuwatetea wauzaji na watumiajiKuchekeana hovyo hakitamalza vita tuweke kujuana pembeni
Sent from my TECNO_P5_PLUS using JamiiForums mobile app
Pembeni kwa jirani yangu ni muuza ngada juu ya nyaya ya umeme kumefungwa viatu kuashiria mtaa ule ni maarufu kwa kuuza ngada, na juzi viatu vimetolewa baada ya hii ishu kusikika suala la makonda kusaka wauza ngada, mimi ni muuzaji mdogo tu, ( pusher ) au ( king pusha ) a drug dealer.Kuchekeana hovyo hakitamalza vita tuweke kujuana pembeni
Sent from my TECNO_P5_PLUS using JamiiForums mobile app
Zangu zote nazibeba naziuzazako zamani ukitukana tu nakufanyia maujanja zinakuwa zangu
Nawewe utakuepo kwenye listinaziuza kivipi sasa uza mwenyewe naona ysawa wa magu umekubana angalia kuwa makini usije kujiuza nawewe
List ya mheshimiwa makonda inatisha Kama njaaNawewe utakuepo kwenye listi
Mateja wamekutaja ati na wewe humonjaa ya madawa ya kulevya aaH wap iyo si kwangu mimi ni kwa wale mateja ....