T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 12,934
- 30,093
Humo ndani kuna Mademu wazuri sana kuna mmoja nimemuomba namba zake za simuMateja wamekutaja ati na wewe humo
Humo ndani kuna Mademu wazuri sana kuna mmoja nimemuomba namba zake za simuMateja wamekutaja ati na wewe humo
Humo humo wapo waliotajwa ambao hawahusiki.Mateja wamekutaja ati na wewe humo
simu hana huyo kakuongopea mim ndye nayemmilikiHumo ndani kuna Mademu wazuri sana kuna mmoja nimemuomba namba zake za simu
Nayemmiliki naye kaniacha kwa kukataa kuzama chumvini/uvinzasimu hana huyo kakuongopea mim ndye nayemmiliki
Watumiaji hawataki kuwataja wauzajiPembeni wakae wote wenye kutaka kuwatetea wauzaji na watumiaji
Guys huwa hawalali mapema kama kuku.Wauzaji mhmh hii mada imekuwa hot ngoja me nilale usiku mwema guys
Hii inaonesha mahitaji ya kuku ni makubwa kuliko kuku tulionaoKuku wamekua adimu kidogo kuchinjwa majumbani kwenye awamu hii
Tulionao nadhani hawachinjwi kwa hofu ya kutomudu kupata wengineHii inaonesha mahitaji ya kuku ni makubwa kuliko kuku tulionao
Wengine wanadhani kula nyama ya kuku ni anasa, hapana ni muhimu kama ilivyo vyakula vingine.Tulionao nadhani hawachinjwi kwa hofu ya kutomudu kupata wengine
Vingine walau ni rahisi kupatikana kwa watazanzania walio wengi kutokana na hali ya uchumiWengine wanadhani kula nyama ya kuku ni anasa, hapana ni muhimu kama ilivyo vyakula vingine.
Hali ya uchumi kwa sasa imekuwa mbayaVingine walau ni rahisi kupatikana kwa watazanzania walio wengi kutokana na hali ya uchumi
Uchumi ulivyo kwa sasa,kuuza unga kutatuhusu wengiVingine walau ni rahisi kupatikana kwa watazanzania walio wengi kutokana na hali ya uchumi
Wengi washaingia mkuu, bila shaka idadi itaongezeka pamoja na harakati za makondaUchumi ulivyo kwa sasa,kuuza unga kutatuhusu wengi
Harakati za makonda nahisi zitagonga ukuta maana hakuna support ya kutosha kutoka idara zinazousikaWengi washaingia mkuu, bila shaka idadi itaongezeka pamoja na harakati za makonda
Zinazohusika licha ya kutompa support ya kutosha, viongozi wengine wengi wananekana kumpingaHarakati za makonda nahisi zitagonga ukuta maana hakuna support ya kutosha kutoka idara zinazousika
..wampinge tu Hakuna namna sasaZinazohusika licha ya kutompa support ya kutosha, viongozi wengine wengi wananekana kumpinga
Sasa kwa style yake ya kumtangaza mtuhumiwa kama gaidi kumbe amekutwa na msokoto mmoja hata mimi ningempinga tu...wampinge tu Hakuna namna sasa
Mbaya zaidi sehemu nyingine kuna njaaHali ya uchumi kwa sasa imekuwa mbaya