Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,118
Zitaficha siri nyingi za ufisadi hizo jalada...Mpya zenyewe kwa utaratibu huu wa maisha bado zitaficha
Zitaficha siri nyingi za ufisadi hizo jalada...Mpya zenyewe kwa utaratibu huu wa maisha bado zitaficha
Maandazi nishakununuoia mdg mpendwa Mtebe.., habari za kupotea hewani???Leteni maelekezo ya namna ya kukanda maandazi
Kunapendeza ikiwa dada zetu mtajitanda ushungi.....Hewani kunapendeza
Lote joto linakubalika kadri ya jinsia ya kike na mavazi yao asilia yanaendana...!!Ushungi na joto lote
Yanaendana mapenzi ya kuku na njiwaLote joto linakubalika kadri ya jinsia ya kike na mavazi yao asilia yanaendana...!!
Njiwa anafahamika pia kwa jina la HUAYanaendana mapenzi ya kuku na njiwa
Vibaya umeamka afu hutaki hata kunipa.salamMubasha ni neno jipya lililoanza kutumiwa vibaya
Hua?Mtebetini hilo ni jina la kiswahili? au ni la lugha nyingine??Njiwa anafahamika pia kwa jina la HUA
Hewani kweli nilipotea ZZ kwa kipindi kirefu Alhamdulillahi nipo salama bukheri wa afyaMaandazi nishakununuoia mdg mpendwa Mtebe.., habari za kupotea hewani???
Mmoja kati ya waliotajwa ambaye ni maarufu kuzidi wote ni naniNiliowagonga wakati naendesha new force enterprises limited walikuwa ng'ombe tisa, mbuzi 3 na punda 6 nashukuru sikugonga binadamu hata mmoja
Mazingira yenyewe hata umeme wa kuchaji simu unasumbua kukatikatika mara kwa mara, Hivi hiyo nchi ya viwanda hivyo viwanda vitakuwa vinatumia power bank?Yanaendana na mazingira
Bank nyingine ni ya kuhifadhi maneno nayo ni kamusi,Zuly HUA ni lugha ya kiswahili ni aina ya njiwa wenye macho mekundu, kuna aina nyingine nazo ni Ninga,Pugi na hata Tetere au Njiwa Manga.Mazingira yenyewe hata umeme wa kuchaji simu unasumbua kukatikatika mara kwa mara, Hivi hiyo nchi ya viwanda hivyo viwanda vitakuwa vinatumia power bank?
Manga kwa kilugha chetu maana yake muhogo.Bank nyingine ni ya kuhifadhi maneno nayo ni kamusi,Zuly HUA ni lugha ya kiswahili ni aina ya njiwa wenye macho mekundu, kuna aina nyingine nazo ni Ninga,Pugi na hata Tetere au Njiwa Manga.
Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app