gbefa
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 3,807
- 15,846
Kuugua fangasi unajitakia mwenyewe, fua anika nje zikikauka zipige pasi, siku nyingine ziloeke kwenye maji ya moyo 4- 8 minutes toa fua anika juaniNdani kunafanya pichu zina vunda alaf ni rahisi kuugua fangasi![]()