Mmea Jr
JF-Expert Member
- May 20, 2016
- 956
- 2,237
Usisumuke,kama kusuku sauti zitoke usiniache ili wote kwa pamoja tufikee.Wapi nikushike ili mwili wako usisimuke
Usisumuke,kama kusuku sauti zitoke usiniache ili wote kwa pamoja tufikee.Wapi nikushike ili mwili wako usisimuke
Tabia zao kuuza sembe ili waongeze kipato chao lakini mwaka huu imekula kwao na huu ndiyo mwisho waoWao wakikaa kimya ww funguka zungumza nao ujue tabia zao
Wao??? Usimnyoshee mtu kidole hata ww inakuhusu. hili suala la sembe ni mzigo wa kila mtu.Tabia zao kuuza sembe ili waongeze kipato chao lakini mwaka huu imekula kwao na huu ndiyo mwisho wao
Kila mtu,basi achukue hatua madhubudi kuzuia biashara hii ambayo ni hatari,maana inateketeza nguvu kazi katika jamii na kudidimiza maendeleo ya taifa hiliWao??? Usimnyoshee mtu kidole hata ww inakuhusu. hili suala la sembe ni mzigo wa kila mtu.
Taifa hili mi nahisi wananchi wake wote ni majipuHili taifa bila sheria kali na ufuatiliaji wa kinaga ubaga dhidi ya hii biashara ya unga tutalitokomeza taifa, kwa kukosa vijana ambao ni nguvu ya taifa...
Majipu ndyo kwasababu wanajua kuanzia anayeuza sambaza hadi anayevuta cha ajabu hawatoi taarifa katika vyombo vinavyohusikaTaifa hili mi nahisi wananchi wake wote ni majipu
Vinavyohusika vitu vyote ambavyo ni halamu kwa serikali kama hayo madawa ya kulevya na vinginevyoMajipu ndyo kwasababu wanajua kuanzia anayeuza sambaza hadi anayevuta cha ajabu hawatoi taarifa katika vyombo vinavyohusika
Vingenevyo tuwe tayari taifa hili kulizika kama jitihada hazita fanyika kuliokoa taifa na hii biashara.Vinavyohusika vitu vyote ambavyo ni halamu kwa serikali kama hayo madawa ya kulevya na vinginevyo
Vingenevyo tuwe tayari taifa hili kulizika kama jitihada hazita fanyika kuliokoa taifa na hii biashara.Vinavyohusika vitu vyote ambavyo ni halamu kwa serikali kama hayo madawa ya kulevya na vinginevyo
Biashara zingine bana, Hivi wanaofanya biashara ya kuuza miili yao huwa wanakuwa na machine za EFD kwa ajili ya risiti?Vingenevyo tuwe tayari taifa hili kulizika kama jitihada hazita fanyika kuliokoa taifa na hii biashara.
Risiti ya nini ukizingatia biashara yenyewe inafanyika gizaniBiashara zingine bana, Hivi wanaofanya biashara ya kuuza miili yao huwa wanakuwa na machine za EFD kwa ajili ya risiti?
Gizani kweli kuna mambo mengiRisiti ya nini ukizingatia biashara yenyewe inafanyika gizani
Anafaidi tena sana chezea pesaMengi bwana, dah akawapiku kina Noorah, Squizer, Bushoke... Anamfaidi mtoto wa Ntuyabaliwe. Kubabake anafaidi.
Mpya zenyewe kwa utaratibu huu wa maisha bado zitafichaPesa imefichwa chini ya magodoro mpaka rais anafikiria kubadili noti mpya