Padri Mcharo
JF-Expert Member
- Feb 28, 2015
- 1,899
- 3,691
Kukaguana jeshini lazima uvue nguo zote wayaone makorodani.
Nae pia atakushangaa ulivyo tafauti..!!!Najishobokesha![]()
![]()
![]()
No way! ID za Jf ni za kuacha kama zilivyo ukimpendea mtu jina utakuja zimia kwa surprise ya ajabu siku ukikutana nae.
Wapendwa wamekukasirikia.., ati hukuwakaribisha iftitahi .....Tofauti na wengine, mi huwa naanza na salamu, habari za asubuhi wapendwa
Kazi kaziMuda huu ni muda wa kazi, twendeni tukapige kazi
Kinomanoma ni kiswahili fanisi kweliMchezo huu jamani nimeumiss kinomanoma
Kwel siku mbaya huanzia asubuh piaKinomanoma ni kiswahili fanisi kweli
Pia na siku zingine zote huanza asubuhi bestKwel siku mbaya huanzia asubuh pia
best ulichosema ni cha kweli kabisaPia na siku zingine zote huanza asubuhi best
Kabisa yaan maana ushindi kwa arsenal utawapa nafas ya kumkimbiza Chelsea kimya kimyabest ulichosema ni cha kweli kabisa
Best yan we acha tuu...... Yan hii ya leo ni mbaya mubasharaPia na siku zingine zote huanza asubuhi best