dem boyz
JF-Expert Member
- Nov 4, 2016
- 7,384
- 16,985
Hakuna ajira kwa sababu ya uhakiki wa vyeti na watumishi hewaMitaani shida tupu kwani ajira hakuna
Hakuna ajira kwa sababu ya uhakiki wa vyeti na watumishi hewaMitaani shida tupu kwani ajira hakuna
Massage mubashara[emoji6] [emoji6] [emoji6]Haupoi kabisa[emoji15] [emoji102] njoo nikupe massage mubashara[emoji6]
Air Force au conditioner? , ebhan nahisi mi ndo mshindi make mi ndo wa mwishoHewa kwa kiingereza ni air
Aibu gani hii hivi kumbe na wewe haujasinzia mpaka sasa hivi!?Mwisho wa ubaya aibu
Mchezo huu jamani nimeumiss kinomanomaSasa hivi nitamuita engineer aje a-deal na wale wanaovunja sheria za mchezo
Kinomanoma! Umaanisha nini hasa mkuuMchezo huu jamani nimeumiss kinomanoma
Mkristo....Huwezi jua imani yake kwa kuangalia jinaSalama Jabir ni muislam, lakini mbona anavaa kama mkristo
Wanalishobokea[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] Chief Engineer!! Uajabu wake ni nini labda?!Jina langu la Chief Engineer madem wengi wananishobokea
Labda wanadhani ni Chief Engineer kweli!Wanalishobokea[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] Chief Engineer!! Uajabu wake ni nini labda?!
Kweli wanaume suruali wamekithiri....Labda wanadhani ni Chief Engineer kweli!
Labda wewe ndo unajishobokeshaWanalishobokea[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] Chief Engineer!! Uajabu wake ni nini labda?!
Unajishobokesha kiudini udini sana... Jamani msichunguzane au kukaguana !!!Labda wewe ndo unajishobokesha
Najishobokesha[emoji47] [emoji47] [emoji47] [emoji845] No way! ID za Jf ni za kuacha kama zilivyo ukimpendea mtu jina utakuja zimia kwa surprise ya ajabu siku ukikutana nae.Labda wewe ndo unajishobokesha