Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Lakini wewe ni bwege sana. Utaumizwaje na mwanamke mmoja.
Mwanamke mmoja ndio yupo kwenye moyo wangu, na me sio polygamist mkuu, nampenda yeye tumetoka mbali sana kwanini iwe huku kwenye mkia tu ndio niteseke hivi kwanini lakini mweeh yaani hapa natamani ardhi ipasuke nijifiche au nife kabisaa roho inanihuma sana wakuu ninekunywa maji mengi sana moyo haupoi kabisa[emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17]
 
Haupoi kabisa[emoji15] [emoji102] njoo nikupe massage mubashara[emoji6]
 
Back
Top Bottom