Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,228
- 13,448
Mamy mie mzima sana nakutafuta tupeane umbeyaMimi ndio mshindi, habari za wewe mamy
Mamy mie mzima sana nakutafuta tupeane umbeyaMimi ndio mshindi, habari za wewe mamy
Mwaka gani kwani unataka kushiriki mchezo upiKombe la dunia linachezwa mwaka gani?
Shimo gani lina siafu wawekee majivu ya motoKwake kuna siyafu nyingi zimetokea chimoni..!!
Upi ule kweliMwaka gani kwani unataka kushiriki mchezo upi
Gbefa hajambo mkuu bado ana hustle tu na maishaYako vp!yamekaa powa Mr.gbefa??
Moto wa Jihanamu ni mkali sanaShimo gani lina siafu wawekee majivu ya moto
Maisha ndo haya tuna hustle c kwa ubayaGbefa hajambo mkuu bado ana hustle tu na maisha
Gbefa hajambo mkuu bado ana hustle tu na maisha
nimpongeze rais kwa kutoka nche ya nchi mvua ikanyesha uku kwetuSana mimi nataka kumfahamu aliyeanzisha game hili nimpongeze.
sijaenda kuroga muda mrefuKwetu bagamoyo tu hapo lakini nina mwaka wa 3 sijaenda
Biere au biaMuda mrefu sijanywa biere
bia inapunguza mawazo??Biere au bia
Mawazo yanaondoka tu mudaule geji ikishapandaBia ni kiburudisho tu na sio kipunguza mawazo
mawazo yapunguzwa na nn??Bia ni kiburudisho tu na sio kipunguza mawazo