Ngushi
JF-Expert Member
- Jul 8, 2016
- 9,064
- 18,367
mubashara niligundua sio nzuri hasa siku niliposhudia shemeji yako akiingia nyumba za kulala wageni,niliumia sanaSingeli !!hatoishinda double hata wakipambana mubashara !!!
mubashara niligundua sio nzuri hasa siku niliposhudia shemeji yako akiingia nyumba za kulala wageni,niliumia sanaSingeli !!hatoishinda double hata wakipambana mubashara !!!
Kibuti Ukipigwa na mtu umpendae kinauma balaa,Naomba tu Aisha wangu asifanye hivyoSana kiasi cha kumpiga kibuti
hivyo atafanya tu kama na wewe hutakuwa mwaminifu kwakeKibuti Ukipigwa na mtu umpendae kinauma balaa,Naomba tu Aisha wangu asifanye hivyo
Mwaliko ulitolewa kwa wachache sanaJamani mpo wangapi humu.. Nataka nitoe mwaliko
Mwaliko ulipotolewa wengi walitamani hawakujua kama kunaharambeeJamani mpo wangapi humu.. Nataka nitoe mwaliko
harambee yenyewe hata haijafanyika sababu hakuna kulaMwaliko ulipotolewa wengi walitamani hawakujua kama kunaharambee
Kula chakula au kula mali ya umma...?harambee yenyewe hata haijafanyika sababu hakuna kula
kula Mali ya umma hapana si unajua mwaliko wowote haukosi msosi, au hujaskia janga la njaaKula chakula au kula mali ya umma...?
Umma, vijiko na visu vya nn wakati mkuu anagawa juice tu magogogni.Kula chakula au kula mali ya umma...?
Magongoni ni hitimisho tu.., ngoma ipo uraiani !!Umma, vijiko na visu vya nn wakati mkuu anagawa juice tu magogogni.
uraiani ndo njaa tupuuMagongoni ni hitimisho tu.., ngoma ipo uraiani !!
magogoni nako shida tupuu tuu, juice na pipi ...Umma, vijiko na visu vya nn wakati mkuu anagawa juice tu magogogni.
Pipi ni tamumagogoni nako shida tupuu tuu, juice na pipi ...
.!
Tamu ya chai sukariPipi ni tamu
Sukari ya warembo ni DiamondTamu ya chai sukari
Diamond huyuhuyu kibiko ya kiba?Sukari ya warembo ni Diamond
Diamond huyuhuyu kiboko ya kiba?Sukari ya warembo ni Diamond
Jina linalo nasibu njaa hii ni ukame....Kiba dhidi diamond ni bifu linalokuzwa kuwaongezea jamaa jina