Mkuu kweli enzi hizo watu walikuwa vichwa hatare akina Einstein enzi zao waliumiza vichwa ku invent mambo ya mana siku hizi ma invents tuliokuwa nao eti ndo hawa wa wagunduzi wa facebook,watsap sijui nini na nini,yani ujinga ujinga[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]Zamani hizo hakuna mpya mkuu
Kuwekeza kwa usawa huu.... Au ndo njia ya kukwepa kupeleka ela bank..... Maana nasikia huko sikuhizi had kuweka ela nyingi unatakiwa kua na leseniMkuu mpya ni kuweza okoa pesa na kuwekeza
Hatareee ndio niniLeseni ya Bank[emoji16][emoji16][emoji16]hatareee
Hatari sana maana kubadili dollar unaulizwa maswali haswaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Leseni ya Bank[emoji16][emoji16][emoji16]hatareee
Haswaaa kama wajihi wako ni wa kutiliwa shaka..Hatari sana maana kubadili dollar unaulizwa maswali haswaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Shaka zulu...hivi kuna movie ya kisouth Africa inaitwa hivyo ehee?? Ili jina si geni masikioni mwanguHaswaaa kama wajihi wako ni wa kutiliwa shaka..
Uchafu ukizidi masikioni watakupiga bombaMasikioni mwangu kuna uchafu
Bomba[emoji15] kiaje yanUchafu ukizidi masikioni watakupiga bomba
Uchafu ukizidi masikioni watakupiga bomba
Mamaafacebook umemtupia wapiBomba la maji au Dawa? By the way nina salamu zako kutoka kwa mamaafacebook II
Wali ndondo naulewa mkuu chips nia alleg nazo uwa situmii, na nineacha kula mgahawani na vibandani nakula kwangu bhanahNjema kaka, na wewe vipi? Chips kuku kwa massawe bado zipo au umeshahamia kwa mama niwekee wali ndondo?
Bombardier zetu tulizonnuliwa juzi kati (pangaboy) kumbe hazina trip ya Arusha_Dsm..Uchafu ukizidi masikioni watakupiga bomba
Arusha -Dar ilikuwepo ikakwama mara 2 naona wamefuta routeBombardier zetu tulizonnuliwa juzi kati (pangaboy) kumbe hazina trip ya Arusha_Dsm..
Route ya dar zenji bei gani hata ya boti kwa anayejus nataka nikatembelee huko Siku mojaArusha -Dar ilikuwepo ikakwama mara 2 naona wamefuta route
Moja ya vitu naogopa kusafiri kwenye majiRoute ya dar zenji bei gani hata ya boti kwa anayejus nataka nikatembelee huko Siku moja
Sasa nimerudi kuwania ushindi kwa mara nyingine tena[emoji6]Maji unaogopa?ha haha labda hujui kuogelea japo inapotokea ajali hata kama unajua kuogelea unaweza kufa vile vile,,,kwenda unguja Mara ya mwsho niliacha 20000 Kilimanjaro express ya azam na 13000 lile kajamba nani. Cjajua kwa sasa