Wa mwisho ndiyo mshindi

Makapuku tupo shehe, napamba na hali yangu shehe, vipi huko kwenu mnatunyima nini hasa
Huku kwetu kuna wingu zito sana limetanda leo hasubui mpaka tukashindwa kwenda makazini tukiofia leo ni ghalika, lakin nilivyoingia ndani tu nakutoka sijui hata lilipotelea wapi.. Sasa hivi jua linapigaa utadhani tuko jehanamu
 
Halaf wale wadada wanaowavua mabwana zao KOFIA alafu wanakimbia nayo thinking its FUNNY and ROMANTIC.. Hiv nyie mkivuliwa MAWIGI wakakimbia nayo mtajiskiaje?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nalia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…