Faru john bado yupo kwani!?Lini tunapanga safari ya Tarangire kumwangalia mdogo wake Faru John
Hizo lawalawa daaah kitamboPipi ya kijiti, ya Kidonge, lawalawa au Peremende?, unazijua hizo?
Faru John pamoja na Blaki WomaniLini tunapanga safari ya Tarangire kumwangalia mdogo wake Faru John
Mamaafacebook labda mie Situmiagi kabisa labda nilete bill ya bandoPacha mimi misosi tu samaki samaki,vyombo situmii labda gbefa,sakayo na mama fb
Wangu kumbe wewe ni shekhe.. Ila umetamani dah... la taqarabbu zinaaMkuu dini yangu inaruhusu mdogo wangu
Impossible is possiblePossible even where it was impossible
Pacha nimempenda bure hapigi vyombo kama mdogo wangu gbefaMamaafacebook, gbefa wanagonga mvinyo ila sakayo wala hatumi, samaki makange na wali nazi vinakuja nimeagiza pacha cha msingi ule ushibe pacha
Saba? Oh jamani pole sana kipenzi, Mungu akufanyie wepesi usiwaze sana juu ya pacha wako aliyepoteaPacha mwenzangu alifariki akiwa na umri wa siku saba
Gbefa kipenzi cha mungu anywi wala havuti hata wanawake hana msimsingizie bure dogo la watuPacha nimempenda bure hapigi vyombo kama mdogo wangu gbefa
Bando najua muhimu kwetu vijana lkn Kula napo muhimu mamaMamaafacebook labda mie Situmiagi kabisa labda nilete bill ya bando
Mshindi hatumhitaji kwa sasaNatumia nafasi hii kuwatangazia mshindi
Yako ratiba inaanzaje mkuu siku za weekend bila sala wala hainogiMkuu nimeipenda bure ratiba yako
Hainogi kwa sababu haina utamuYako ratiba inaanzaje mkuu siku za weekend bila sala wala hainogi
Gbefa kumbe hapigi kumbe?haya umebaki wewe tu mamafacebook uje utoe ushuhuda hapaPacha nimempenda bure hapigi vyombo kama mdogo wangu gbefa
Mkuu mie sitaki kuwa mchepuko labda muke ya piliUnaharibu hapo kaka me namfahamu yule wa [emoji183] [emoji183] [emoji183] sasa huyu untaka umfanye mchepuko mkuu
Nchi jirani ya Kenya inafanya uvhaguzi wake wa viongozi mwaka huuFaru john bado yupo kwani!?
Wakuu tuache utani kutembea ukubwani ni shida majukumu yanabana nashukuru mungu shule na scout imenisaidia kufika mbali sana hapa tz na baadhi ya nchi jirani
Huu uzi unakwenda tu yaelekea hauna mwishoNchi jirani ya Kenya inafanya uvhaguzi wake wa viongozi mwaka huu
Pili na wewe si umeshananiliwa!?Mkuu mie sitaki kuwa mchepuko labda muke ya pili
Mifuho yangu naifuga kitaalamu hakikisha wakati wa kupandisha jike unaleta dume kutoka sehemu nyinginedoctor blaki womani ukimaliza mifugo ya toxic9 moja Kwa moja uje uipe chanjo mifugo yangu