gbefa
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 3,807
- 15,846
Gbefa yuko hapa kwa ajili yako dada anakujali pia na anakupenda sanaMoyo wangu unakuwaza wewe pekee, ila wamjali zaidi mdogo wangu gbefa
Gbefa yuko hapa kwa ajili yako dada anakujali pia na anakupenda sanaMoyo wangu unakuwaza wewe pekee, ila wamjali zaidi mdogo wangu gbefa
Gbefa anakumiss pia wangu umeshindaje na miangaiko dada angu kipenziSijui hali yako waendeleaje ndugu yake mie, nakumiss sana gbefa
Washenzi tena hahahaha sakayo leo umegonga bia ehh, mpira dakika 90 subiri uone AZAMA wazee wa rambaramba wanavyo pigwaWanaongoza kwa bao moja, chezea Azam wewe walituaibisha juzi hawa washenzi
Kabisa kaka naona kama umefungua moyo wangu ahsante sanaGebfa asije jitundika, hapendi moyo wako uniwaze kabisa
Sana ehh, ngoja sasa nitampenda sakayo mpaka ulieKabisa kaka naona kama umefungua moyo wangu ahsante sana
Kabisa asiwe na wasi wasi, damu nzito kuliko mbegeGebfa asije jitundika, hapendi moyo wako uniwaze kabisa
Sana nalijua hilo mdogo wangu sina wasi wasi juu yako ndo maana sitaki uwowe maana wifi atanidhulumuGbefa yuko hapa kwa ajili yako dada anakujali pia na anakupenda sana
Huba lake tu mie hoiNini ulichokimiss kwake?
Kipenzi mie nimechoka naangalia mpira hapa, vipi wewe apo hali yakoGbefa anakumiss pia wangu umeshindaje na miangaiko dada angu kipenzi
Yako yangu.. Yangu yanguKipenzi mie nimechoka naangalia mpira hapa, vipi wewe apo hali yako
Wanavyopigwa wapi wewee, mie Sinywagi pombe kabisa na Sitokaa ninywee kabisaaa jamaniWashenzi tena hahahaha sakayo leo umegonga bia ehh, mpira dakika 90 subiri uone AZAMA wazee wa rambaramba wanavyo pigwa
Ahsante sana gbefa, ulipo nipoKabisa kaka naona kama umefungua moyo wangu ahsante sana
Atakudhulumu nini wangu wakati una nafasi kubwa kwangu usijal hata kidogoSana nalijua hilo mdogo wangu sina wasi wasi juu yako ndo maana sitaki uwowe maana wifi atanidhulumu
Ulie nini sasa, Sipendagi kuona mwanaume analia mieSana ehh, ngoja sasa nitampenda sakayo mpaka ulie
Yangu na weweYako yangu.. Yangu yangu
Yako macho hayaumi kweli, me nipo poa my nipo tu hapa gheto nasiliza mpira kama wewe, mambo swadakta kabisaKipenzi mie nimechoka naangalia mpira hapa, vipi wewe apo hali yako
Wewe na mimi yetu woteYangu na wewe
Kidogo hicho ndo nakiogopa jamaniAtakudhulumu nini wangu wakati una nafasi kubwa kwangu usijal hata kidogo
Kabisa nilivyo napata amani kabisa kusikia upo njemaYako macho hayaumi kweli, me nipo poa my nipo tu hapa gheto nasiliza mpira kama wewe, mambo swadakta kabisa
Wote wameondokaWewe na mimi yetu wote