Kituko
JF-Expert Member
- Jan 12, 2009
- 9,555
- 9,368
Kwake? ana vingi sana tatizo kuvipublish hapa ndo mtihani![]()
![]()
![]()
Mtihani unajipa mwenyewe kaka, kuwa huru naji tuvijue
Kwake? ana vingi sana tatizo kuvipublish hapa ndo mtihani![]()
![]()
![]()
Twisheni ya nini mkuu mimi ndiyo mkufunzi ila natoa mafundisho kwa adaSalama kabisaa mkuu
Wanasema eti na wewe hujitumii mkuu unaitaji twisheni.
Humu jmn mbona ajanipa chochoteDhahabu zote zile alizo kuhonga namge bado unamkimbia huonekani humu
Dawa tumia msetoDr nina malaria naomba dawa
Ajanipa chochote aisha2016 muulize nemge sijuiHumu jmn mbona ajanipa chochote
Mseto wajawazito haiwafai huwa wanapewa SP, ila nashangaa hospital nyingne wanawapa wajawazito mseto huwa sielewiDawa tumia mseto
Unajua kwamba unaweza ukawa unajiona unajua lakini kumbe haujui!?Twisheni ya nini mkuu mimi ndiyo mkufunzi ila natoa mafundisho kwa ada
Sielewi kwa kwel maana msd nao wamekua majipu karib wte,wanadhan huko mahospitalin dawa zemejaa kumbe ni miseto mitupu mpka wajawazito wanaambiwa wameze,,,dunia inaelekea ndiko siko kabsa
Kujua anajua yy mapenzi ya sinema ni ya hamonize na wolperNini cha zaidi unataka kujua
Tuvijue ili mnidokoleeee kuna pipo wanasubiri waanziwe ndo nao watest zaliMtihani unajipa mwenyewe kaka, kuwa huru naji tuvijue
Sielewi kabisa, ila upo sahihi wajawazito hawapewi mseto, hujambo lakiniMseto wajawazito haiwafai huwa wanapewa SP, ila nashangaa hospital nyingne wanawapa wajawazito mseto huwa sielewi
Unajua kwamba unaweza ukawa unajiona unajua lakini kumbe haujui!?
Ebu zingatia hili mkuu mwenzako nimeshaanza kukusanya ada hapa hili nianze twisheni kwa mwalimu rahabu na ringson.
Dila imeyumba tayari AZAM wanaongoza,Yaani imefika mahali mtu kama una mu40 nyumbani kwako unaonekana ni dili, na hao hao wataalumu wanatusisitiza tuitunze vizuri. Asee kwa kweli hii dunia imevaa gunia badala ya dila.
Moyo wangu unakuwaza wewe pekee, ila wamjali zaidi mdogo wangu gbefaMnoo sakayo hujambo mtoto mzuri kipenzi changu cha moyo
Sijui hali yako waendeleaje ndugu yake mie, nakumiss sana gbefaAjanipa chochote aisha2016 muulize nemge sijui
Gebfa asije jitundika, hapendi moyo wako uniwaze kabisaMoyo wangu unakuwaza wewe pekee, ila wamjali zaidi mdogo wangu gbefa
Wanaongoza kwa bao moja, chezea Azam wewe walituaibisha juzi hawa washenziDila imeyumba tayari AZAM wanaongoza,![]()