gbefa
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 3,807
- 15,846
Nani amekuambia huku kuna member wa chaputaMkuu Wa chama cha CHAPUTA ni nani?
mkuu umepotea jukwaa pole sanaNani amekuambia huku kuna member wa chaputaMkuu Wa chama cha CHAPUTA ni nani?
mkuu umepotea jukwaa pole sanaVitandani kujituma kutafuta usingizi au.. mimi sielewi wakuuHawajitumi hata vitandani
Yale magari yote ni yetuWakuu wanamaanisha yale mambo yetu Yaleeeeeeee
Wakuu, muelewesheni gbefaVitandani kujituma kutafuta usingizi au.. mimi sielewi wakuu
Yale ya wakubwa eeeh?Wakuu wanamaanisha yale mambo yetu Yaleeeeeeee
Eeeh Ya wakubwa tena..Yale ya wakubwa eeeh?
Wakuu hata mie naona chengaVitandani kujituma kutafuta usingizi au.. mimi sielewi wakuu
Chenga lazma uone kwasababu hamtak kunipa UshindiWakuu hata mie naona chenga
Ushindi nipeniChenga lazma uone kwasababu hamtak kunipa Ushindi
Nipeni na kombeUshindi nipeni
Kombe la dhahabuNipeni na kombe
Dhahabu ni ghali.. Lakini Aisha wangu ni wathamani.. Miss youKombe la dhahabu
Ushindi ni wako mamy, za kunyamaza jamanii kwema mpendwa, miss you mnooooChenga lazma uone kwasababu hamtak kunipa Ushindi
Mno pia nimewamiss.. Majukum mengi drUshindi ni wako mamy, za kunyamaza jamanii kwema mpendwa, miss you mnoooo
Miss you too jmnDhahabu ni ghali.. Lakini Aisha wangu ni wathamani.. Miss you
Jamani Aishah2016 upo? kisa cha kujifungia siku zote hzo ni nini?Miss you too jmn
Dr karibu tena jamanii kwenye jukwaaMno pia nimewamiss.. Majukum mengi dr
Nn zaidi ya majukum wanguJamani Aishah2016 upo? kisa cha kujifungia siku zote hzo ni nini?
Jukwaa kama Kawa tunapambana mpk apatikane mshindiDr karibu tena jamanii kwenye jukwaa