Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Amani yetu ndo nguzo ya nchi yetuTumika kuliombea taifa amani
Amani yetu ndo nguzo ya nchi yetuTumika kuliombea taifa amani
Bipu kama huna salioSijabadilisha hebu jaribu ku bipu
Bipu inaniambia call waiting naona unatumika haya banah dear, unaniweka kwenye foleniSijabadilisha hebu jaribu ku bipu
Foleni ya tazaraBipu inaniambia call waiting naona unatumika haya banah dear, unaniweka kwenye foleni
Tazara ndiyo kuna foleni peke yake, endelea kukaririFoleni ya tazara
Nikupigie wakati simu yako ipo busy 24/7Bipu nikupigie
Nchi yetu inaombewa sana kwa upande wa amani lakini kwa upande mwingine mmmhh haibadilikiAmani yetu ndo nguzo ya nchi yetu
Salio la bando linakaribia kuishaBipu kama huna salio
Busy signal one more night reggae musicNikupigie wakati simu yako ipo busy 24/7

Mandela road now inatakiwa kuwa improved kupunguza foleniTAZARA, makutano ya Nyerere na Mandela roads!
Haibadiliki kwasababu viongozi hawatak kubadilikaNchi yetu inaombewa sana kwa upande wa amani lakini kwa upande mwingine mmmhh haibadiliki
Foleni zimepungua baada ya magari ya mwendo kasi kuanzishwaBipu inaniambia call waiting naona unatumika haya banah dear, unaniweka kwenye foleni
Tazara shirika linalosuasua kiuendeshajiFoleni ya tazara
Kukariri lilikuwa somo zuri sanaTazara ndiyo kuna foleni peke yake, endelea kukariri
Haibadiliki sababu watu ni walewaleNchi yetu inaombewa sana kwa upande wa amani lakini kwa upande mwingine mmmhh haibadiliki
Amani imekuwa wimbo wa taifa la nchii mengine yanapuuzwaTumika kuliombea taifa amani
Kuisha sio rahisi maana langu la chuoSalio la bando linakaribia kuisha