Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,228
- 13,448
Bara kuna vitu tofautiUrojo kwa Z'bar ni kama nini kwa bara?
Bara kuna vitu tofautiUrojo kwa Z'bar ni kama nini kwa bara?
Dada yangu anapenda mapishi ya chapatiKiuno siwezi kutengua mtu dada angu
Pressure yangu siku zote juu juu nikiona umetupia postBlaki Womani anasema kutabasamu ni kupunguza pressure
Pressure? High blood pressure ama?Blaki Womani anasema kutabasamu ni kupunguza pressure
Post za leo zimekaa kimapinduzi mapinduziPressure yangu siku zote juu juu nikiona umetupia post
Ama umeelewaje wewePressure? High blood pressure ama?
Wewe nimekuja kwako sikupatiAma umeelewaje wewe
Wewe umejifunza wapi uongo mkubwaAma umeelewaje wewe
Sikupati kwa namba ile uliyonipa au umebadilishaWewe nimekuja kwako sikupati
Mkubwa haongopi....!Wewe umejifunza wapi uongo mkubwa
Haongopi ila anadanganyaMkubwa haongopi....!
Anadanganya....? Hapana yeye anaona mbaliHaongopi ila anadanganya
Mbali ni mbinguni, mtu mzima anaweza ona mbinguni mkuuAnadanganya....? Hapana yeye anaona mbali
Umbadilisha wewe, mimi sijabadilisha,Sikupati kwa namba ile uliyonipa au umebadilisha
Sijabadilisha toka simu za mikononi zianze tumikaUmbadilisha wewe, mimi sijabadilisha,
Tumika kuliombea taifa amaniSijabadilisha toka simu za mikononi zianze tumika
Haongopi wapi hata ukiwa na cheoMkubwa haongopi....!
Anadanganya sana aiseHaongopi ila anadanganya
Sijabadilisha hebu jaribu ku bipuUmbadilisha wewe, mimi sijabadilisha,
Bipu nikupigieSijabadilisha hebu jaribu ku bipu