Hujanielewa Tena? Yumo humuhumu hahahahah relax
Kwani kumjua mmeo ni vibaya.
supermarket kwani kapotelea wapi?Inaniuma kupotea kwa supermarket
Haku au haki mama nimekumissYake maamuzi yalikuwa ya kukurupuka hakutenda haku
Hao hawanielewi etiYupo na upo nae, mi ni shemeji tu baeleze hao
Watakuelewa wewe ukiwaambiaRelax mamaafacebook II , ni swala la muda tu watakuelewa
Wapi bas? Me sijuisupermarket kwani kapotelea wapi?
Eti nini?, hawakuelewi?, basi achana naoHao hawanielewi eti
Sijui pia, niliona unamuulizia ndo nami nikaulizaWapi bas? Me sijui
Nao ukiwaendekeza hawafai tuwaangalie tu my shemEti nini?, hawakuelewi?, basi achana nao
Nkauliza walipokuficha na weweS
Sijui pia, niliona unamuulizia ndo nami nikauliza
@tocix9 mgomvi
Wewe walikujibu nini?Nkauliza walipokuficha na wewe
@tocix9 mgomvi
Nao ukiwaendekeza hawafai tuwaangalie tu my shem
Jamani leo wangapi tutaangalia mapinduzi day kwa TV..!? Ila mimi siangalii, tupo njema dada sakayoAm lonely without you by my side my little brother, niko busy sana jamani ila usiwaze maana kimawazo niko na nyie, nawamiss sana ujue.
Habarini za asubuhi ndugu wa humu ndani jamani