Kituko
JF-Expert Member
- Jan 12, 2009
- 9,555
- 9,368
Toxic9 kafanyaje tena mkuu, mhmhhh umemmiss sakayo eti, atakuja asubuhi alikuwepo humu
Humu kuko poa sana, stress zote zinaondoka iwa muda
Toxic9 kafanyaje tena mkuu, mhmhhh umemmiss sakayo eti, atakuja asubuhi alikuwepo humu
Nini wakasema tulikua woteWewe walikujibu nini?
Jamaaa hafaiMgomvi sana huyo jamaa
Kimya na kwangu turudi tulikokuaShem ina maana tuko mimi na wewe tu?, naona kimya
Humu hakunifai ntawakimbia soonNije nikusamilimie mamafacebook nisiwe nakusubiri humu
Jamaa mna mpa tuhuma zisizo mstahili, mtata ni mamaafacebook, kituko, gbefa na sakayoMgomvi sana huyo jamaa
Akili yangu Leo haiko poaNn ndiyo lugha gani mamaafacebook, njoo hapa kwenye genge letu la kuchangamsha akili
Imeshapita ile habari ya kuzama kwa botiYake furaha Mwenyezi Mungu ni kutuona watoto wake tunapendana, jana nimechelewa kulala sana, halafu jana sikuwa sawa kabisa angalau jana imeshapita
Watu wa hapa nawapendaNimekumiss pia mutu ya watu
Kimya na kwangu turudi tulikokua
Huko nilikokua hawajamboWewe uniambie na wewe ulipofichwa hawajambo huko.
Mtungi unapoza majiMgomvi jamanii, aku mimi kijana mtulivu mpenda amani, nimetulia tuli kama maji ya mtungi
Zaid turejeeTulikokua ni kuzuri zaidi
Zaid turejee
Jf naipenda imenilea nitarudi one day ila kwa Leo kwaheriniTurejee tu mama, tuwaage basi wana JF
Zamiluni kweli amepotea, na wewe umepotea sana, ndoa yetu imepata itilafu ni nini umenitema mwenzako, umepata kitu kipya dear, ngoja nitafute mwingine hali si shwariWatu yuko wapo Zamiluni
Mkuu mkoa unaotoka una fursa ganiSerious nimekuelewa sana mkuu
Jf naipenda imenilea nitarudi one day ila kwa Leo kwaherini
Shwari tu wakuu.. Mambo niniZamiluni kweli amepotea, na wewe umepotea sana, ndoa yetu imepata itilafu ni nini umenitema mwenzako, umepata kitu kipya dear, ngoja nitafute mwingine hali si shwari
Mkuu mkoa unaotoka una fursa gani