gbefa
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 3,807
- 15,846
Nije nikusamilimie mamafacebook nisiwe nakusubiri humuUko wapi nije
Nije nikusamilimie mamafacebook nisiwe nakusubiri humuUko wapi nije
Nije nikusamilimie mamafacebook nisiwe nakusubiri humu
Sikukwambia kuwa me naenda kumjulia si ana kibendi au haujui mkuuHumu afadhari mi shemeji yake namlinda, huko unakotaka kwenda kumtafuta utafungwa, mke wa mtu huyo shauri yako, usiseme sikukwambia
Furaha ni dawa ya kuongeza life spanNdugu wanapokaa kwa upendo na amani inaleta furaha
Nn ndiyo lugha gani mamaafacebook, njoo hapa kwenye genge letu la kuchangamsha akiliUkuda ndio nn
Yake furaha Mwenyezi Mungu ni kutuona watoto wake tunapendana, jana nimechelewa kulala sana, halafu jana sikuwa sawa kabisa angalau jana imeshapitaHulali na wewe me sjui maana yake
Haku, halafu balck womani unajua wewe ni msaliti haya banah sawa tu, Mungu anakuonaYake maamuzi yalikuwa ya kukurupuka hakutenda haku
Hao wakina nani, kituko mambo nilikumiss mshikaji wangu, usipo kuwa hewani namuona mamaafacebook wangu anakuwa mpweke sana, karibu sana mkuu changamsha genge,Yupo na upo nae, mi ni shemeji tu baeleze hao
Mbaya zaidi ni kumtamani mke wa mtu, amri za Mungu zinakataza kumtamani mke wa jirani yakoVibaya kama una nia mbaya
Nimekumiss pia mutu ya watuHaku au haki mama nimekumiss
Sikukwambia kuwa me naenda kumjulia si ana kibendi au haujui mkuu
Watu yuko wapo ZamiluniNimekumiss pia mutu ya watu
Serious nimekuelewa sana mkuuKamwe mimi sipo serious mkuu, tupo kwajili ya utani hapa, hapa ni kwajili ya kujenga furaha tu nothing serious
Genge tulichangamshe wote kaka, mambo vipi jamaaHao wakina nani, kituko mambo nilikumiss mshikaji wangu, usipo kuwa hewani namuona mamaafacebook wangu anakuwa mpweke sana, karibu sana mkuu changamsha genge,
Toxic9 kafanyaje tena mkuu, mhmhhh umemmiss sakayo eti, atakuja asubuhi alikuwepo humu
Wewe uniambie na wewe ulipofichwa hawajambo huko.Nkauliza walipokuficha na wewe
Mgomvi jamanii, aku mimi kijana mtulivu mpenda amani, nimetulia tuli kama maji ya mtungi@tocix9 mgomvi