Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 26,745
- 51,212
Arudi kama ringson unavyopotea na kurudiYake tabia ya kupotea humu jukwaani sio vizuri, mwambie arudi.
Arudi kama ringson unavyopotea na kurudiYake tabia ya kupotea humu jukwaani sio vizuri, mwambie arudi.
Lakini si huwa unanifulia jamani sakayo wangu, leo kunisusia kwenye ndoo ndiyo nini, kuna haja ya kununua mashine ya kufua kumbe, maana kiburi chako sikiwezi mpendwa wangu.Zako nguo umefua lakini
Wangu yupo wapi? Sakayo wapo wawili ehhMmmmh!! Ulikuwa unaumwa kumbe mkuu Sakayo.
Pole sana mpendwa wangu
Mpendwa tupo wangapi baki njia kuu banahWangu naumwaa hadi napona we hujui hilo, Asantee mwayaa naendelea vizuri mpendwa
Kula vya watu sio vizuriSamaki napenda kweli, niagizie nije kula
Uraiani akionja hatarudi mkuuBana wapi we we?mwache aonje ladha nyingine uraiani
Vizuri tu mbona maana sisi sote ni ndugu na ni mwili mmojaKula vya watu sio vizuri
Mmoja ndiyo natambua, lazima atulie nae mmoja, wewe una wangapi mkuuVizuri tu mbona maana sisi sote ni ndugu na ni mwili mmoja
Ehh!! Mmoja tuWangu yupo wapi? Sakayo wapo wawili ehh
Mkuu mimi sina hata mmoja aiseee nipo nakufa na utamu wangu kama muwa tuMmoja ndiyo natambua, lazima atulie nae mmoja, wewe una wangapi mkuu
Nyumbani kwako peke yako hapana, sina ujasiri wa kulala hapo nitarudi tu nikishashibaJamani hata hapa kwetu panafaa wewe kulala mkuu maana nipo peke yangu tu nyumbani.
Mkuu kuja lazima mpendwaHivyo bhasi ufanye uje mkuu
Nikishashiba mimi nakuwaga msumbufu kwa kweli hasa mida ya usikuNyumbani kwako peke yako hapana, sina ujasiri wa kulala hapo nitarudi tu nikishashiba
One love, sasa ngoja nipige kazi baadaee mkuuYake salamu imefika kwa dogo gbefa,i expect genuine love from you dear one,
Wangu sina kiburi ni majukumu yameingiliana tuu jamaniLakini si huwa unanifulia jamani sakayo wangu, leo kunisusia kwenye ndoo ndiyo nini, kuna haja ya kununua mashine ya kufua kumbe, maana kiburi chako sikiwezi mpendwa wangu.
Kwa Kweli Nmemic Aisha wangu, Cjui mna taarifa zakeNikishashiba mimi nakuwaga msumbufu kwa kweli hasa mida ya usiku
Eeeh yupo mmoja tu au Kuna ambaye Unamfananisha na mieWangu yupo wapi? Sakayo wapo wawili ehh
Tu!! Ahhh shehe Kwahiyo nawe ni mwanachama wa chaputa, tafuta binti uweke ndani achana na mambo ya kutumia mkono, mkono unamaliza nguvu kabisa jogoo hata wika tena sheheMkuu mimi sina hata mmoja aiseee nipo nakufa na utamu wangu kama muwa tu
Banah niko njia kuu mbona T 1990 ELY ni rafiki tu mwayaaMpendwa tupo wangapi baki njia kuu banah