Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Vizuri kula na nduguyoKula vya watu sio vizuri
Vizuri kula na nduguyoKula vya watu sio vizuri
Mkuu nina mmoja tu, tunaenda njia moja ila yeye anaishia moshi mie segeraMmoja ndiyo natambua, lazima atulie nae mmoja, wewe una wangapi mkuu
Usiku huwa mrefu hasa ukilala mapemaNikishashiba mimi nakuwaga msumbufu kwa kweli hasa mida ya usiku
Segera sijawai kufika hivi ni pazuri ehee, huwa napasikia tuMkuu nina mmoja tu, tunaenda njia moja ila yeye anaishia moshi mie segera
Napasikia tu ni kituo cha mabasi yanayokuwa yanaelekea kanda ya kaskazini yakitokea jijini dar, habari zako mkuuSegera sijawai kufika hivi ni pazuri ehee, huwa napasikia tu
Salamu yake kwako imefika japokuwa sio kwa muda muafakaExcept more love from me, mdogo wangu gbefa hajambo lakini mwambie nammiss sana nisipoona salamu yake
Shekhe Toxix9 unaipenda hii mada kweliTu!! Ahhh shehe Kwahiyo nawe ni mwanachama wa chaputa, tafuta binti uweke ndani achana na mambo ya kutumia mkono, mkono unamaliza nguvu kabisa jogoo hata wika tena shehe
Kaka mtoto wa kiume siunajua tenaShekhe Toxix9 unaipenda hii mada kweli
Mzima lakini kaka!?
Leo Nimejikuta nakumiss mdogo wanguSalamu yake kwako imefika japokuwa sio kwa muda muafaka
Shikamoo dada sakayo umeshindaje Leo!?
Kaka mwambie ukweli, yaani mpaka amenishinda tabiaShekhe Toxix9 unaipenda hii mada kweli
Mzima lakini kaka!?
Tena babaa punguza hiyo tabia bwana, hayo ya chumbaniKaka mtoto wa kiume siunajua tena
Wangu me nipo poa hofu kwako tu kipenzi changuLeo Nimejikuta nakumiss mdogo wangu
Tena nimeshakufumania Mara kibao kwenye baadhi ya thread uko na hii mada.. Sawa sawa mkuuKaka mtoto wa kiume siunajua tena
Tena nimeshakufumania Mara kibao kwenye baadhi ya thread uko na hii mada.. Sawa sawa mkuuKaka mtoto wa kiume siunajua tena
Tabia hii sio nzuri kwa kweli tuipige vitaKaka mwambie ukweli, yaani mpaka amenishinda tabia
Chumbani siji sahivi, tangulia ngoja nile kwanza nipate nguvu my dearTena babaa punguza hiyo tabia bwana, hayo ya chumbani