Kwema mkuu nipo sana tu, lakini kitabu kigumu mno najiuliza mengi tu ya class sina majibu ingekuwa inaruhusiwa kutoroka chuo, ningekua nishatoroka lakini hapa nikifanya hivyo sawa sawa nakikimbia kivuli changu mwenyewe unakumbuka work done is equal to zero mkuu!? Kwenye physics o level!?Maisha tu ndo yanatufanya tupambane, habari za wewe apo mkuu, kwema
Mpya lakini sioni kama kutakuwa na mabadilikoStacia namtakia heri ya mwaka mpya
Tunapoelekea hata hatupajui tena awamu hii hata watabiri wanashindwa kutabiriBritish leave it behind bro, hebu tujadili mambo ya taifa letu, mpaka sasa ni yapi mazuri ni yapi mabaya, na je unaonaje tunapoelekea
Rushwa inarudisha nyuma maendeleoLazima tukatae na tuseme kwa pamoja sitaki rushwa, haya rudia sitaki rushwa
Jamii za siku hizi maadili zeroMaendeleo ya jamii
Twin fb tuu hhhhhItakuwepo nini twin? Ni nini ninakikosa twin?
hhhhh ni neno la lugha gani?Twin fb tuu hhhhh
..Gani lugha aongeayo huyo mtu??hhhhh ni neno la lugha gani?
Hhhhhhh twin hamnaga banahTwin fb tuu hhhhh
Huyo ni weweMtu gani huyo
Hhhhhhh goodmorning allTwin fb tuu hhhhh
..All Is well FriendHhhhhhh goodmorning all
Friend indeed is friend in need..All Is well Friend
Rafiki wa kweli utamjua wakati ukiwa na shida, Mmeamkaje bandungu natumaini mu wazima wa afyaFriend indeed is a friend in need(akufaaye kwa dhiki ndiye rafiki)
Muumba wa ardhi na mbinguWazima wa afya tunamshukuru muumba