Kituko
JF-Expert Member
- Jan 12, 2009
- 9,555
- 9,368
Mpenzi lazima umshike, asije chukuliwa na wana JF maana ni wajanja sanaUsalama upo Salam kwa Mme wangu mpenzi
Mpenzi lazima umshike, asije chukuliwa na wana JF maana ni wajanja sanaUsalama upo Salam kwa Mme wangu mpenzi
Sweetheart umekuja mwenyewe kwenye mahakama ya haki,Nini unataka sweetheart
Nao wanakupenda, ila punguza ndumbaJamii inanipenda ninavyojishughulisha nao
Yako mengi tu ambayo tunayaacha 2016 je ni yapi umejipanga kuyafanya 2017?Nao waendelee kukupa support wasikuache peke yako
Haki ntaipata humu kweliSweetheart umekuja mwenyewe kwenye mahakama ya haki,
Definition of society based on how you state it is more clear, umetisha kumbe lugha ya iliyokuja na meli unaijuwa ehh umegonga na reference kabisa unafaa kuwa mke weweSociety means the aggregate of people living together in a more or less ordered community.
Or
an organization or club formed for a particular purpose or activity
According to google definition
Kurudi alichelewa huyu atug na bado alikuwa tilalilaSweetheart wako ameleta madai Jana ulichelewa kurudi
Kutosha ina maana ulikunywa nyingi sana, kumbe wakina kitwanga mpo wengiAmarula situmi napendelea dry white wine kipindi hiki nimefuta za kutosha
Kodo ili utie fitinaMimi nakodoa kodo
Yupo sawa huyo, mbona sijamwelewa ana force mahusiona na wewe wakati you are takenNini kimekisibu... Siwezi kuwa na wewe wakati toxic9 yupo
Taken by whom?! As far as I know, yuko single free to mingleYupo sawa huyo, mbona sijamwelewa ana force mahusiona na wewe wakati you are taken
Sumu ni Poisonous substance it can kill very harmful so to say, kaa mbali nayo toxic9Toxic9 yupo? haya kuwa naye kwanza jina lake kwa kiswahili ni sumu
Rehma=RehemaMungu n mwingi wa Rehma
Talaka huleta mgogoro mkubwa sana katika jamiiWake uongo unaweza kusababisha talaka
Sana sana huyu boss Ngalikihinya, mzee wa jukwaa la wa kubwa aleaderMpenzi lazima umshike, asije chukuliwa na wana JF maana ni wajanja sana
Kweli humu fitina sanaHaki ntaipata humu kweli
Mingle Ngalikihinya una visa weweTaken by whom?! As far as I know, yuko single free to mingle
Ni serikali ipi itakuja kuutokomeza ufisadi nchiniUmasikini umekosa tiba kabisa haswa katika kipindi hiki cha serikali ya CCM
Wewe mimi sina visa, ila naongea ukweli.Mingle Ngalikihinya una visa wewe