mamaafacebook II
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 2,513
- 3,553
Umeamka na wewe? Me nashukuru kiasiKituko hichi, mgonjwa umeamka?
Umeamka na wewe? Me nashukuru kiasiKituko hichi, mgonjwa umeamka?
Hapo ulipo upo na atug?Umeamka salama kituko???? Wapi shemejioooo mamaafacebook?? Msalimie sana **** upo naye hapo,
Juu ya nyumba Kuna pakaKituko cha mwaka unaokuja unaambiwa watu wenye nyota ya kaa basi watumwa sana matumbo nilicheka sana kusikia hilo watabiri wa nyota wapo juu
Tatizo sio kumaliza tatizo, tatizo namna ya kulikabili tatizoSasa tunafanyaje kumaliza tatizo
Swadakta wewe ni mpemba, nasikia wapemba mnajuwa sana kupika, na mnayajuwa sana mapenzi, naomba uthibitisho wakoMkuu, ni sodata au swadakta?
Viagra? Hivi kuna haja gani kutumia artificial boost, gonga vitu asilia,Kusisismua misuli ni kazi ya Viagra
Kiasi gani leo unajisikia, unajua mimi sipindi kuona unaumwa mamaafacebookUmeamka na wewe? Me nashukuru kiasi
Paka? Acha kuwanga aisehhh, unawanga na paka asubuhi yote hiiJuu ya nyumba Kuna paka
Mamaafacebook ana malariaKiasi gani leo unajisikia, unajua mimi sipindi kuona unaumwa mamaafacebook
Sekeseke la kulala nje nisingelivumiliaAtug jana karudi usiku sana, sijuwi alikuwa wapi, sijamuuliza kabisa unajua kwa kuwa moyo wangu hautaki sekeseke
HiiiiiPaka? Acha kuwanga aisehhh, unawanga na paka asubuhi yote hii












aliapnda nishamshushaNishamshusha shuu km wema alivyoombwa namba na kibaHiiiiialiapnda nishamshusha

Kiba ameishiaje na show ya dodomaNishamshusha shuu km wema alivyoombwa namba na kiba![]()
![]()
![]()
Nisingelivumilia leo angekuwa ICU, acha dhamira imsuteSekeseke la kulala nje nisingelivumilia
Kiba alimuomba wema namba mhmhhhh kweli???? Kiba amepotea kama ndiyo hivyoNishamshusha shuu km wema alivyoombwa namba na kiba![]()
![]()
![]()
Dodoma ni heri kiba alitoka nduki, show nasikia ilikuwa siyo ya hadhi yake, venue ilikuwa ni bar sijuwi grocery, spika nasikia zilikuwa zimebebeshwa na kreti za soda, sasa mtu kama kiba ni wakumwandalia show za kijinga hivyo wanaua reputation yakeKiba ameishiaje na show ya dodoma
Imsute Mara ngapi atajirudi akuombe msamahaNisingelivumilia leo angekuwa ICU, acha dhamira imsute
Yake hadhi haikufaa kupiga show sehem kama hiyoDodoma ni heri kiba alitoka nduki, show nasikia ilikuwa siyo ya hadhi yake, venue ilikuwa ni bar sijuwi grocery, spika nasikia zilikuwa zimebebeshwa na kreti za soda, sasa mtu kama kiba ni wakumwandalia show za kijinga hivyo wanaua reputation yake