mamaafacebook II
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 2,513
- 3,553
Hujatulia hiyo vepe kunishakaziaSana tu nani kasema? Unafanya kama vile mi nimesimuliwa.. nimeona mimi mwenyewe kuwa hujatulia
Hujatulia hiyo vepe kunishakaziaSana tu nani kasema? Unafanya kama vile mi nimesimuliwa.. nimeona mimi mwenyewe kuwa hujatulia
Si semi kitu mimi, niwezi kumwaribia nilipomuweka, namuamini mnoUmeridhika ehh, sasa kituko ungejuwa nimemkuta wapi mamaafacebook mimi si semi..
Mno inapimwaje?Si semi kitu mimi, niwezi kumwaribia nilipomuweka, namuamini mno
Tuuuuu achana naye kitanda usichokilalia hukijui kunguni wake mpotezeeHujatulia labda wewe kaka, mamaafacebook II bonge la wife material, we humjui tu
Inapimwaje kwani huwa inapimika?Mno inapimwaje?
Mpotezee na wewe pia shemTuuuuu achana naye kitanda usichokilalia hukijui kunguni wake mpotezee
Shem mm nishampotezea Tena yeye na toxic9 woote hawafaiMpotezee na wewe pia shem
Kabisa yaaani n wqchonganishi huyo mwengine ati sijatulia utadhani ananifahamHawafai kumbe, naoana wanataka kukuharibia mapema kabisa
Ananifaham kuwa mimi ni shem wako so alitaka nikakuharibie, anyway tuachane na hayo uko poa kwa sasa?Kabisa yaaani n wqchonganishi huyo mwengine ati sijatulia utadhani ananifaham
Hivyo ndivyo mnavyoingia mitini?Sana sana black womani aje kutoa maelezo mbona ameadimika hivyo
Kwa Sasa nashukuru alhamdulillah Mungu ni mwemaAnanifaham kuwa mimi ni shem wako so alitaka nikakuharibie, anyway tuachane na hayo uko poa kwa sasa?
Mwema kwa kweli, kama unajisikia uzuri basi ni haki na hekima kumshukuru Mungu, toxic9 , Ngalikihinja mamaafacebook II anajisikia fresh ni furaha yetu soteKwa Sasa nashukuru alhamdulillah Mungu ni mwema
Sote na tuseme aamyyynMwema kwa kweli, kama unajisikia uzuri basi ni haki na hekima kumshukuru Mungu, toxic9 , Ngalikihinja mamaafacebook II anajisikia fresh ni furaha yetu sote






Sote ni ndugu watoto wa baba mmojaMwema kwa kweli, kama unajisikia uzuri basi ni haki na hekima kumshukuru Mungu, toxic9 , Ngalikihinja mamaafacebook II anajisikia fresh ni furaha yetu sote
Kabisa yani kituko mimi napambana kukuletea ubuyu hata huelewi kweli limbwata hii ni level nyingene limempata paka shemeji kweli mamaafacebook we kiboko mikono juuHawafai kumbe, naoana wanataka kukuharibia mapema kabisa
Sote ni furaha kuona mamaafacebook tumezima taa tnalala acheni usumbufu vijanaMwema kwa kweli, kama unajisikia uzuri basi ni haki na hekima kumshukuru Mungu, toxic9 , Ngalikihinja mamaafacebook II anajisikia fresh ni furaha yetu sote
Hivi aamyyyn ni nini aisehhh, au matambiko ya wazee, mimi sisemi.Sote na tuseme aamyyyn![]()
Hatanii nimeamini kupitia wewe pole sana mpendwaKweli naumwa Shem wangu hatanii