Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,228
- 13,448
Kuusikia hata mara moja basi utakuwa wa kileo sanaWimbo huo sjawahi kuusikia
Kuusikia hata mara moja basi utakuwa wa kileo sanaWimbo huo sjawahi kuusikia
Kuusikia hata mara moja basi utakuwa wa kileo sanaWimbo huo sjawahi kuusikia
Sana huyu mamaafacebook wa 90 huyu, nyimbo gani ya zamani kiasi hicho umemtajia?Kuusikia hata mara moja basi utakuwa wa kileo sana
Kuusikia hata mara moja basi utakuwa wa kileo sana
Hivyo toka jana nimetoa taarifa nakwenda kuungana na tume ya kutafuta Faru John huko Serengeti nitawaletea mrejeshoSana sana black womani aje kutoa maelezo mbona ameadimika hivyo
Mchokozi yeyote anatakiwa awepo lupangoWangapi wameridhia ndoa kati yao?? Mamaafacebook lakini wewe mchokozi
Hawafai kwa pilau wala ndizi jinsi walivyotepetaShem mm nishampotezea Tena yeye na toxic9 woote hawafai
Mitini ya mizabibu ndimo inapatikana wineHivyo ndivyo mnavyoingia mitini?
Walivyotepeta kwa kuchokaHawafai kwa pilau wala ndizi jinsi walivyotepeta
Sote tulikuwa tunamwombea apone haraka aweze kuendelea na shughuli zakeMwema kwa kweli, kama unajisikia uzuri basi ni haki na hekima kumshukuru Mungu, toxic9 , Ngalikihinja mamaafacebook II anajisikia fresh ni furaha yetu sote
Aamyyyn daah macho yangu hayana ushirikianoSote na tuseme aamyyyn![]()
Umemtajia mambo yanazidi umri wakeSana huyu mamaafacebook wa 90 huyu, nyimbo gani ya zamani kiasi hicho umemtajia?
Umri wake ni mdogo sana huyo.Umemtajia mambo yanazidi umri wake
Wine huwa ni safi sana hasa kwa kipindi hichi cha sikukuu, wewe wanywa ya aina gani?, Red sweet, Dry au white sweet, dry? Au mambo ya Amarula?Mitini ya mizabibu ndimo inapatikana wine
toxic9 hahahahahahahaha we ndo hufaiHawafai kabisa hawa jamaa, hasa huyo toxic9
Shughuli zake zitaenda akipona sawsawaSote tulikuwa tunamwombea apone haraka aweze kuendelea na shughuli zake
Juu ya ubuyu unaomletea hauna ukweli wowote unataka kunichonganishaKabisa yani kituko mimi napambana kukuletea ubuyu hata huelewi kweli limbwata hii ni level nyingene limempata paka shemeji kweli mamaafacebook we kiboko mikono juu
Vijana siku hizi mmevurugwa vibayaSote ni furaha kuona mamaafacebook tumezima taa tnalala acheni usumbufu vijana
Sisemi ulivyo mbeaHivi aamyyyn ni nini aisehhh, au matambiko ya wazee, mimi sisemi.
Mpendwa asanteee nashukuru sjamboHatanii nimeamini kupitia wewe pole sana mpendwa