Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Tena uniambie ulikuwa uanfanya nini kwenye ule uzi wa yule mtafuta mke, ngoja kituko aje
Aje tu Shem wangu huuu n uchonganishi wa kiwango cha lami Mimi niliquote tu na mie nimtamftie dogo mwenza Sasa ajabu hajaorodhesha vigezo alivyonavyo ndio nikauliza hakuna lolote baya Shem wangu Kituko ananiamini usinichonganishe nae
 
Nae toxic9 ana mambo sana, muelezee bwana, mwambie wewe sio wa mchemchezo sasa, umeshatulizwa na umeridhika
 
Back
Top Bottom