Kituko
JF-Expert Member
- Jan 12, 2009
- 9,555
- 9,368
Shem ugua poleKesho inshallah tukijaaliwa usiku mwema shem
Shem ugua poleKesho inshallah tukijaaliwa usiku mwema shem
Picha tu, wala usiwe na shida ntakuombeaSana sana nami nazitaka picha
Pole sana mamaa facebookShem ugua pole
Pole Yako nimeipokea kwa kimono miwiliShem ugua pole
Washindani wa kitu gani? basi mimi nakutunuku ushindi mkuuTena nastaafu huu mchezo kwa muda kila la kheri washindani
Taa tena??? Haya mamaafacebook Zima taa upesi nami nimo.Sana atahisi shemeji shemeji tunazima taa
Umeiona SMS niliyokufowadia? @da minji sjaona pole yake ndio mkeo huyo Shem?Mikono miwili ni dalili ya kupokea kwa moyo mkunjufu, da minji naye amekupa pole umeiona?
Nimo kwenye mgao wa fedhaTaa tena??? Haya mamaafacebook Zima taa upesi nami nimo.
Facebook unatumia jina ganiPole sana mamaa facebook
Shem hapana sio huyo, ila niliona nae amekupa pole, msg yako sijaipata ngoja niangalieUmeiona SMS niliyokufowadia? @da minji sjaona pole yake ndio mkeo huyo Shem?
Niangalie kama nitapata mda wa kuchat ila nimeshatuma SMS angaliaShem hapana sio huyo, ila niliona nae amekupa pole, msg yako sijaipata ngoja niangalie
Angalia na wewe kwakoNiangalie kama nitapata mda wa kuchat ila nimeshatuma SMS angalia
Mkewe utakuwa busy nami, mwambie MR aje siku nyingineTanga hiihi tafadhali anitafute mkewe
Kwako nisharudisha majibuAngalia na wewe kwako
Nyingine n wewe kunitaftia mabalaaa kwa Shem wanguMkewe utakuwa busy nami, mwambie MR aje siku nyingine
Majibu nimeyaona, aksanteKwako nisharudisha majibu
Asante nawe pia shemMajibu nimeyaona, aksante
Zikufikie wewe uliyepo mbali na upeo wa macho yanguBlack womani wangu jamani yupo wapi, asipo kuwepo humu ndani utajuwa tu, atug kakamatiwa, mamaafacebook anaumwa salamu nyingi zikufikie