Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 26,740
- 51,158
Hajafa?? Huo ni Uchochezi Hahahahahahaa.Faru John hajulikani alipo, kafa au hajafa?
Hajafa?? Huo ni Uchochezi Hahahahahahaa.Faru John hajulikani alipo, kafa au hajafa?
Mbowe ni yule jamaa aliyetolewa NHC?Hai jimbo la ubunge la Mh Mbowe
Haahaaa, ngoja tuone mwisho wa pichaHajafa?? Huo ni Uchochezi Hahahahahahaa.
Yangu fursa uliishia nayo wapiKituko ni kuwa watu hawaamini kuwa wewe ni shemeji yangu
Picha zangu huzitaki tenaHaahaaa, ngoja tuone mwisho wa picha
Wapi ulikuwa, nimepata nyepesinyepesi kuwa unaumwa kweli?Yangu fursa uliishia nayo wapi
Sana atahisi shemeji shemeji tunazima taaTena yamekuwa hayo shemeji, si unamjua toxic9 na mambo yake, nazihitaji sana
Wqshindani hawakubali kushindwaTena nastaafu huu mchezo kwa muda kila la kheri washindani
Taa ikizimwa ni balaa hiloSana atahisi shemeji shemeji tunazima taa
Kweli Leo sijisikii vizuriWapi ulikuwa, nimepata nyepesinyepesi kuwa unaumwa kweli?
Vizuri kufanya vipimo na kupata tiba sahihi, pole ShemKweli Leo sijisikii vizuri
Hilo mwenyewe silitakiTaa ikizimwa ni balaa hilo
Shem asanteeeeee kwa kujali kwakoVizuri kufanya vipimo na kupata tiba sahihi, pole Shem
Kwako leo ingekuwa vizuri msukuma angekuwa nawe, wiki ijayo atakuwa TangaShem asanteeeeee kwa kujali kwako
Tanga hiihi tafadhali anitafute mkeweKwako leo ingekuwa vizuri msukuma angekuwa nawe, wiki ijayo atakuwa Tanga
Tanga hiihi tafadhali anitafute mkewe
Kesho inshallah tukijaaliwa usiku mwema shemMkewe leo mgonjwa hana raha, pumzika bwana Kesho