mamaafacebook II
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 2,513
- 3,553
Huku hakujaharibikaWanaongoza wanawake bwana, mbona mmeshaungana tena kutushambulia, toxic9 njoo kumesha haribika huku
Huku hakujaharibikaWanaongoza wanawake bwana, mbona mmeshaungana tena kutushambulia, toxic9 njoo kumesha haribika huku
Huyo nani??Yangu hayajui mjuze huyo
Mamaafaceboook naongea ukweli Kituko n shemeji yangu jamaniVibaya hivyo kutudanganya watu wazima na mvi zote hizi, wewe kubali tu mamaafacebook
Nani anaongelewa kama sio weweHuyo nani??
Hilo halihitaji uwe umesoma sana kugundua matendo yake...Matendo yake yatanidhihirishia hilo
mamaafacebook nimekumic karibu nyumbani mwaka mpyaVibaya hivyo kutudanganya watu wazima na mvi zote hizi, wewe kubali tu mamaafacebook
Yake matendo upendo na heshima zake zitanijulisha hayoHilo halihitaji uwe umesoma sana kugundua matendo yake...
Mungu anakuona ujue Atug umenikana mara saba na jogoo akawikaVibaya kuombea wenzio mabaya.... Kwa wote wa tafuta wenza wa maisha all the best na msiache kumshirikisha Mungu
Wanaongoza pia kutatua shida za wanawake wengi apa mjini
Hapo hapo mkamatieMwingine nan nasemea ww hapo
Mpya nguo nitaivaa nikija nielekez n wapi nitakaribia but iwe tangamamaafacebook nimekumic karibu nyumbani mwaka mpya
nimekumiss zaidi Blaki WomaniExperience ya wapi hiyo?, haya mambo yako 50-50Huku hakujaharibika tunaongea from experience
Akawika wapi mie sijamsikiaMungu anakuona ujue Atug umenikana mara saba na jogoo akawika
Shemejiiiiiii, hakunaga ushemeji tunakulaga ni zama yangu leo ni zamu yangu leoHuyo hajatulia, na hawezi elewa, mwache tu shemeji
Nywele bandia auMjini bila vidume kutatua shida zao ingekuwa balaa, angalia kama wewe leo umetoa laki moja ya mtu kwena kutengeneza nywele
Mkamatie jogooo tumchinjie tuhserehekeee heri ya mwaka mpyaHapo hapo mkamatie
Sana sana kama amekufurahisha mpatie zawadi tamuShemeji unanfrahisha sana![]()
Tamu haluwa tende imesingiziwaSana sana kama amekufarahisha mpatie zawadi tamu
Shaka huamini kama mamaafacebook ni wako wa maisha, kaza buti kijanaHilo halina shaka