Kituko n shemji yangu bwanaweeeeYangu macho... Mwaka hauishi bila kuwa na mabadiliko ya status kutoka shemeji hadi mke, mpo hapo wakuu # mamaafacebook [HASHTAG]#kituko[/HASHTAG]
Mwingine nan nasemea ww hapoAtug mimi hapa au mwingine
Huyo hajatulia, na hawezi elewa, mwache tu shemejiYangu hayajui mjuze huyo
Shemeji unanfrahisha sanaHuyo hajatulia, na hawezi elewa, mwache tu shemeji





Hilo halina shakaMatendo yake yatanidhihirishia hilo
Hapo sawa... Nikadhani kuna mwingine huyo toxic9 angekuwa na kesi ya kujibuMwingine nan nasemea ww hapo
Hapo sawa... Nikadhani kuna mwingine huyo toxic9 angekuwa na kesi ya kujibu
Shaka lazima niwe nayo coz mtu mwenyewe simfaham I wish nimfaham as soon as I canHilo halina shaka
Kujibu angejibu unawajua wanaume kwa kupretend?Hapo sawa... Nikadhani kuna mwingine huyo toxic9 angekuwa na kesi ya kujibu
Kigugumizi kingemshika pale ambapo ningemwambia safari ya kumpeleka Bukoba haipoKujibu hasingeweza zaidi ya kutetemeka na kuwa na kigugumizi
Kupretend wanaume wanaongozaKujibu angejibu unawajua wanaume kwa kupretend?
Can I see you kwenye PM baadae nikutumie email yake ili mmalizane, nimeshampa wasifu wako yuko hoi anaimba Kisukuma kwa kwenda mbeleShaka lazima niwe nayo coz mtu mwenyewe simfaham I wish nimfaham as soon as I can
Wanaongoza pia kutatua shida za wanawake wengi apa mjiniKupretend wanaume wanaongoza
Mjini kuishi kwahitaji akiliWanaongoza pia kutatua shida za wanawake wengi apa mjini
Mwingine ni kiwakilishiAtug mimi hapa au mwingine
Mbele kwa mbele wimbo waccm au?????? Unataka kuniona kweliCan I see you kwenye PM baadae nikutumie email yake ili mmalizane, nimeshampa wasifu wako yuko hoi anaimba Kisukuma kwa kwenda mbele
Wanaongoza na kutudanganyaKupretend wanaume wanaongoza