Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Kutambaa hahahahaha mabomu yalikuchanganya sana, hukutoka nje bila nguo kweli???
Kweli ilikua Siku mbaya sana coz nilikua nasoma na sikwenda shule hiyo siku nilikua naumwa nilikimbia sana kilaa nikikumbuka nachekaa sjui nilikua nakimbia nini
 
Back
Top Bottom