Imeanza vibaya..?? Kivipi?Asubuhi hii imeanza vibaya
Mara ni jamuhuri ya watu wa chuiYanaongezeka kwa kasi kubwa mauaji kati ya wafugaji na wakulima mkoani Morogoro nini kifanyinke kunusuru maisha ya watanzania?
Kikurya asili yake wapi kwani hata ukienda Kenya Kuna watu wanaongea lafudhi ya Kikurya maeneo ya Masai Mara
Chui ni mnyama mmoja hivi rafiki yake huwa Tahzani wa IndiaMara ni jamuhuri ya watu wa chui
India nchi inayoongoza kuwa na wanajeshi wengi wa like kuliko nchi yoyote duniani
Kike? Una maanisha Salim Kikeke?Duniani? Weee kweli shehe? India hii hii au??ulimaanisha wanajeshi wa kike?
Kikeke yupo wapi cku hzi mbona simuoni BBCKike? Una maanisha Salim Kikeke?
BBC swahili inapendeza akitangaza Zuhura Yunusi na Kikeke. Enzi akiwepo Charles Hilary ilikuwa na utamu wakeKikeke yupo wapi cku hzi mbona simuoni BBC
Wanajeshi wa kike wa Libya walikuwa na suta nzuri sana haswa waliokuwa wanamlinda bwana mkubwa GaddafiDuniani? Weee kweli shehe? India hii hii au??ulimaanisha wanajeshi wa kike?
Gaddafi alikuwa analindwa na wanajeshi wa kike wenye SUTA au SURA nzuri sana?Wanajeshi wa kike wa Libya walikuwa na suta nzuri sana haswa waliokuwa wanamlinda bwana mkubwa Gaddafi
Sura nzuri sana kwa wanawake inapeleka wanaume kuwatazama kwa matamanioGaddafi alikuwa analindwa na wanajeshi wa kike wenye SUTA au SURA nzuri sana?
Nini? We hujui maana ya matamanio kweli? Ni hamu ya kugegedaMatamanio ni nini?
Siri imefichuka waliomuza faru johnKugegeda kinyumbani kwetu ni kunyoa nywele za siri.
Faru john ni wathamani kwa watawala kuliko wananchiSiri imefichuka waliomuza faru john