Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Wanafanyiwa ukatili kutokana na roho mbaya na ubabe wa wanaume wa kule na mila na desturi zinachangia
Zinachangia wanaume kuwa wa babe ahhhh mila gani hizo sweetheart, you know you might be right or wrong, labda kabila la Kimasai ambao mpaka hivi leo wana mfumo dume, lakini sio kama ilivyokuwa zamani sahivi ukatili umepungua
 
Umepungua sawa ila kwa kiwango kidogo sana. Kwan juzi juzi hukusikia kuwa mwanaume alikatwa nyeti na mkewe? Huoni kuwa ukatili upo mpaka kwa wanawake?
 
Chanzo kikuu ni wafugaji. Hawa wanatumia Mali zao kuwahonga viongozi wa mtaa ili wavamie maeneo ya wakulima. Chanzo kikubwa ni serikal kushindwa kutenga maeneo ya wafugaji na kushindwa kutoa elimu ya ufugaji Wa kisasa. Mifugo kidogo uzalishaji mkubws
Mkubwa na wanawe wanatarajia kutoa hit song mwisho wa mwaka, song litakalo fungia mwaka yamoto walipotea sana vijana wangu
 
Zinachangia wanaume kuwa wa babe ahhhh mila gani hizo sweetheart, you know you might be right or wrong, labda kabila la Kimasai ambao mpaka hivi leo wana mfumo dume, lakini sio kama ilivyokuwa zamani sahivi ukatili umepungua
Umepungua kwa kiwango gani sweetheart? Na mila hizi dear still zipo,ukiwa mjini and unazungukwa na civilized people huwezi jua... But psycally,sexually and emotionally bado watu wanakuwa abused and esp women.. Japo wanaume nao wapo wanaofanyiwa hayo but sio kwa kiwango kikubwa
 
" Mumewe alipokuwa anampiga mkewe alijikuta anang'atwa pua mpaka ikaondolewa" alisikika Moja ya mashuhuda wa ugomvi huko mara akinena
 
Watanzania tunapendana tatizo ni viongozi kuhodhi maeneo bila kuyaendeleza hivo wataifishwe halafu wapewe hao wafugaji
Wafugaji wenyewe na baadhi ya viongozi ndiyo vyanzo vikuu migogoro kati ya wafugaji na wakulima, yule jamaa alipigwa mkuki anaendeleaje??
 
Anaendeleaje??? Unauliza Leo wakati jamaa kapona na kaimarika vizuri
 
Hivi kumbe alichanika ulimi? Mimi nilisoma soma kwenye vigazeti kuwa anaendelea poa
 
Kaimarika vizuri wapi? Usicheze na kuchanwa ulimi na mkuki kutokea upande wa pili. Hawezi kuwa amepona kwa haraka hivi.
Hivi jamaa anafikiri ni kitu cha kupona haraka ehhh, mwambie banah, yule jamaa atapona kwa shida sana ule mkuki usifanye mzaha ulizama ukatokea shingoni, ila kuna watu ni makatili aiseeh
 
Aiseee! Kumbe jamaa aliumizwa kiasi kile? Mkuki ulizama as if ni movie ya ecalypto iliyochezwa na wabrazili
 
Aiseee! Kumbe jamaa aliumizwa kiasi kile? Mkuki ulizama as if ni movie ya ecalypto iliyochezwa na wabrazili
Wabrazili walifungwa 7-1 na Ujerumani, na wakakubali kipigo, sasa nyie hii race hapa, kubalini mimi ndo mshindi.. Msi-reply tena
 
Wabrazili walifungwa 7-1 na Ujerumani, na wakakubali kipigo, sasa nyie hii race hapa, kubalini mimi ndo mshindi.. Msi-reply tena
Tena jaribu kuangalia hizi records uone wabrazili walivoburuzwa
1999 : Brazil 4-0 Germany
2002 : Brazil 2-0 Germany
2004 : Brazil 1-1 Germany

TOTAL = BRAZIL 7-1 GERMANY

MWAKA 2014

Brazil 1 - 7 Germany. Tambua kuwa hicho kilikuwa ni kisasi
 
Kisasi cha kuviziana sio kabisa, mnaviziana hakuna amani
 
Back
Top Bottom