Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

U make me feel happy
Happy Happiness: The emotion that puts your face in motion. Fear: The emotion that puts your legs in motion. Anger: The emotion that puts your fist in motion. Lesson: Don't be afraid or angry and you won't have to run and fight.
 
Zinachangia kivipi wakati serikali IPO IPO tu na haijachukua hatua Kali dhidi ya mila hizi
 
Mwetu ni kijiji kimoja kipo mkoa wa Tabora huwa kina watu wenye imani potofu sana na kinapenda pia mila za kikurya
 
Yanaongezeka kwa kasi kubwa mauaji kati ya wafugaji na wakulima mkoani Morogoro nini kifanyinke kunusuru maisha ya watanzania?
 
Watanzania tunapendana tatizo ni viongozi kuhodhi maeneo bila kuyaendeleza hivo wataifishwe halafu wapewe hao wafugaji
 
Mara kumbuka ni mpakani na Kenya hivo mwingiliano ni mkubwa na historia inaonesha asili yao ni Kenya
 
Watanzania tunapendana tatizo ni viongozi kuhodhi maeneo bila kuyaendeleza hivo wataifishwe halafu wapewe hao wafugaji
Wafugaji au wakulima nani ana fedha nyingi ya kuhonga viongozi wa serikali za mtaa, tuanze kutafuta chanzo
 
Chanzo kikuu ni wafugaji. Hawa wanatumia Mali zao kuwahonga viongozi wa mtaa ili wavamie maeneo ya wakulima. Chanzo kikubwa ni serikal kushindwa kutenga maeneo ya wafugaji na kushindwa kutoa elimu ya ufugaji Wa kisasa. Mifugo kidogo uzalishaji mkubws
 
Back
Top Bottom