Kwangu imekaa vizuri, ingwa January inanitishaKabisa kabisa hii sikukuu sio nzuri hata kidogo kwangu
Nimekumiss pia... Nilikuwa nimejumuika na familiaHumu ulipotea kabisa ukafichwa kabisa dear, nimekumiss
Family is all what matters my dear, i gues you are enjoying , i just miss you, sijakuona kwenye uzi wa isidingo updates, humu pia nikaona ua busy alot these two days agoNimekumiss pia... Nilikuwa nimejumuika na familia
Sana tu nmewamissmpo wapi??au mchakato wa xmass upo dip sana
Nmewamiss kwa udi na uvumbaSana tu nmewamiss
Uvumba mwingine husababisha chafyaNmewamiss kwa udi na uvumba
Chafya ni afya shehe, ukizipata zipige as more as u canUvumba mwingine husababisha chafya
Can you please cheka kwa sauti?Chafya ni afya shehe, ukizipata zipige as more as u can
Sauti imekauka mkuu i cant make asound, pande zipi unabanjuka tuCan you please cheka kwa sauti?
Chafya nyingi, unavuta ugolo?Uvumba mwingine husababisha chafya
Unabanjuka vipi wakati huu!?Sauti imekauka mkuu i cant make asound, pande zipi unabanjuka tu
Huu utawala hauna dili za pesa kama zama za mkwereUnabanjuka vipi wakati huu!?
Mkwere ndiyo nani? Mlimuonea sana sasa mmeipataHuu utawala hauna dili za pesa kama zama za mkwere
Pilau leo Christmas sijala. Nimekula UgaliMmeipata habari?? Kua leo ukhuty hali pilau?
Pilau la leo lilikuwa tamu