Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Mawazo ya mapenzi yanaweza kukufanya ufe mapema
Mapema leo hii kuna taarifa za uzushi, Kumekuwa na taarifa ambazo si nzuri juu yangu na zimekuwa zikivuma kwenye mitandao ya kijamii eti mimi situmii pilau, kuku, mbuzi na mambo mengine yanayohusu kula. Nasema mkiziona hizo taarifa mziipuuze sio taarifa sahihi zina mlengo wakunifanya nife na njaa
 
Njaa hizi daah watu wanazibebea katika gunia
 
Zote sala na dua tumemwombea mukulu ila yeye anatufanya tuishi kama mashetani.
 
Back
Top Bottom