dem boyz
JF-Expert Member
- Nov 4, 2016
- 7,340
- 16,909
Kibuti ni noma na usiombe upigwe kibuti kwa sababu ya jamaa mwingine kisa ana vitz tuWachache sana babies wa ukweli kuwakuta mjini ambao hawapigi kibuti
Bongo ndio ingawa babes wazuli kama wewe ni wachache