dem boyz
JF-Expert Member
- Nov 4, 2016
- 7,340
- 16,909
Gesi yenyewe ya mtwara naskia wajanja wanaichakachua joto lake halifikii hata nyuzi 80Haiivi unapikia kuni? Tumia gesi.
Gesi yenyewe ya mtwara naskia wajanja wanaichakachua joto lake halifikii hata nyuzi 80Haiivi unapikia kuni? Tumia gesi.
Joto lake kama liko hivyo kweli haliivishi nyamaGesi yenyewe ya mtwara naskia wajanja wanaichakachua joto lake halifikii hata nyuzi 80 nyuz
Bibi alipiga mkwara kua gesi haitafika dar lkn akatulizwaSongosongo pia Msimbati kwa bibi
Nyama gani zinapikwa leo wadau tujuzane msije mkatulisha fisiJoto lake kama liko hivyo kweli haliivishi nyama
Fisi wapo maporini, kama mjini ni kuwa Na hofu tu ya kugeuzwa wanyalu kulishwa nyama ya mbwaNyama gani zinapikwa leo wadau tujuzane msije mkatulisha fisi
Akatulizwa Na gesi ikatokaBibi alipiga mkwara kua gesi haitafika dar lkn akatulizwa
Ikatoka kwa vifijo na nderemo kemkemAkatulizwa Na gesi ikatoka
Gani...? Nadhani ni barabara...!Kemkem inamana gani?
Barabara hii tupitayo ndio unamaanishaGani...? Nadhani ni barabara...!
Barabara yenye mabonde imefanana na kichwa cha mukuluUnamaanisha hujui kabisa hyo barabara?
Magogoni karibu na kigamboniMukulu huyu huyu wa magogoni?
Nyama gani mkuu, mdudu, mbuzi, ng'ombe au kukuMkuu nipo jikoni nimeingia mwenyewe nachemsha nyama
Gesi inapika fasta bwana kataviHaiivi unapikia kuni? Tumia gesi.
Kuku wengi Leo wamechinjwa kwa ajili ya sikukuuNyama gani mkuu, mdudu, mbuzi, ng'ombe au kuku