Marufuku kumdhihaki mheshimiwa raisiWageni wote mnakaribishwa ila tu hakutakuwa na bia maana mimi ni mpendwa mimi na vile ni marufuku
Mwaliko wa nini unatakaIgw
igweee, we mbona hutoi mwaliko?
Mwaliko nimetoa mkuu, ni wewe tu kuja, ila mtagonga maji mwanzo mwisho hakuna bia, misosi kazi ni kwako mbuzi choma, micshemsho ya kuku, samaki, ng'ombe, wali, pilau, ndizi, matunda, rojo, sambusa, wali wa maua, mishikaki, mtura, njegere rojo, mtori kazi ni kwako andaeni matumbo tu jamani wapendwaIgw
igweee, we mbona hutoi mwaliko?
Wapendwa Mwenye huu uzi alienda wapi???Mwaliko nimetoa mkuu, ni wewe tu kuja, ila mtagonga maji mwanzo mwisho hakuna bia, misosi kazi ni kwako mbuzi choma, micshemsho ya kuku, samaki, ng'ombe, wali, pilau, ndizi, matunda, rojo, sambusa, wali wa maua, mishikaki, mtura, njegere rojo, mtori kazi ni kwako andaeni matumbo tu jamani wapendwa
Wapi aende yupo humu humu katuachia msala kuusaka ushindi uzi wenyew hauishi lkn saluti kwa nameless girl kwa kuwa wa kwanza kukoment huu uziWapendwa Mwenye huu uzi alienda wapi???
Uzi wenye UshindilessWapi aende yupo humu humu katuachia msala kuusaka ushindi uzi wenyew hauishi lkn saluti kwa nameless girl kwa kuwa wa kwanza kukoment huu uzi
Wapi wambuzi wakuu, wambuzi ndiye aliye kuwa muasisi wa thread hii na ni kweli hajaonekana muda sanaWapendwa Mwenye huu uzi alienda wapi???
Sana sana naweza kufika mapema kabla ya wegeni wengine nifaidi wa kwanzaWageni watakuwa wengi na wewe ukiwa mmojawapo, kuna kila kitu karibuni sana
Wa kwanza siku zote hufaidi vinonoSana sana naweza kufika mapema kabla ya wegeni wengine nifaidi wa kwanza
Sana sana tunapambana bila kujua zawadi ya mshindiWapi wambuzi wakuu, wambuzi ndiye aliye kuwa muasisi wa thread hii na ni kweli hajaonekana muda sana
Raisi ataongoza kwa kipindi cha miaka mitanoMarufuku kumdhihaki mheshimiwa raisi
Vinono vimeandaliwa kwa ajili ya afya zetuWa kwanza siku zote hufaidi vinono
Zetu dua tu tuwe wazima mpk iyo sikuVinono vimeandaliwa kwa ajili ya afya zetu
siku hiyo ntakula hadi nishidwe kutembeaZetu dua tu tuwe wazima mpk iyo siku
Siku ya leo hatuende kazini ndio tumeanza holidaysZetu dua tu tuwe wazima mpk iyo siku
Kutembea muhimu ni moja ya mazoezisiku hiyo ntakula hadi nishidwe kutembea
mazoezi wengi hampendi.mpaka mshauriwe na daktariKutembea muhimu ni moja ya mazoezi
Daktari amesema rupendelee kula machungwamazoezi wengi hampendi.mpaka mshauriwe na daktari