zwenge ndaba
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 2,037
- 3,604
unakiogopa pia weweK
Kifo unakiogopa?
unakiogopa pia weweK
Kifo unakiogopa?
huruma huzaa dhambiKifo hakina huruma
Mnazi ule umejaa makararaVyote pamoja na ukuti ukuti wa mnazi
Wewe ndio muoga, hiyo ni njia ya kila mtu usiogopeunakiogopa pia wewe
Yako hayanikwazi usichukuie serious n kiasi cha kusogeza gurudum liendeWallah wabilahi unanikwaza na maneno yako
Liende wapi hapa ndo limefikaYako hayanikwazi usichukuie serious n kiasi cha kusogeza gurudum liende
Liende vipi wakati wewe unalala? Usiku Mwema memba woteYako hayanikwazi usichukuie serious n kiasi cha kusogeza gurudum liende
Wewe ndio nani uliechangia post namba 28726
Wote tupo macho haya nimerudi umeridhikaL
Liende vipi wakati wewe unalala? Usiku Mwema memba wote
Limefika mwao penzi la fulaniLiende wapi hapa ndo limefika
Umeridhika na nn mamaafacebook11Wote tupo macho haya nimerudi umeridhika
Dhambi kuzini Na bado tunazinihuruma huzaa dhambi
Kitambulisho tena u made my day28726 ndio namba yako ya simu au Kitambulisho?





Mara nyingne huwa nawaza kubeba dumu la maji lita tano nitembee nalo.Mchana jua linawaka kama moto
mamaafacebook II nipo hapa nimeridhika Na ninachokipataUmeridhika na nn mamaafacebook11
kitambulisho changu kimekosewa kwenye sehemu ya me wameweka fe.ntawaloga28726 ndio namba yako ya simu au Kitambulisho?
Halo likizidi joto muone daktariMara nyingne huwa nawaza kubeba dumu la maji lita tano nitembee nalo.
Anavituko kama jina lakeKawaida gani hiyo ya mafumbo?