supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,968
Watu bwana, wazaramu wamekamata mwizi wamemsema mpaka mwizi kafaMuungwana hutambuliwa na watu
Watu bwana, wazaramu wamekamata mwizi wamemsema mpaka mwizi kafaMuungwana hutambuliwa na watu
Imekithiri sana tabia yako ya kuchati ukiwa kitandaniSana imekithiri
Kitandani ndiko unakua vere comfortableImekithiri sana tabia yako ya kuchati ukiwa kitandani
Kuliko kuingia kwenye mambo hayo, bora tulaleni tuNdogo kulkko na kubwa kuliko
Namna alivyoahidi wala hajatuangusha walala hoisasa kila kitu kimebadilika .tutaheshimiana tu.hakuna namna
Walala hoi wanazidi kuongezeka kila kukichaNamna alivyoahidi wala hajatuangusha walala hoi
Kabisa yani hupendi utamu wa simba na yanga, je umeshacheza kibaba baba na kimama mama, kombolela, kipande na redeFootball n mchezo nisioupenda kabisaa
tulale tu kivipi?usingizi rafiki yake kifoKuliko kuingia kwenye mambo hayo, bora tulaleni tu
Comfortable, no comfortability haipatikani kitandani bwanaKitandani ndiko unakua vere comfortable
Kitasa kimeota kutu labda tuvunje mlangoHalifungi funguo zimegoma baada ya kubadilisha kitasa
Rede Na ulizotaja Bila kusahau mdako nimecheza vyoteKabisa yani hupendi utamu wa simba na yanga, je umeshacheza kibaba baba na kimama mama, kombolela, kipande na rede
Kifo unakiogopa?tulale tu kivipi?usingizi rafiki yake kifo
Kifo hakina hurumatulale tu kivipi?usingizi rafiki yake kifo
Rede ulikuwa mchezo mzuri sana siku hizi umeanza kupoteaKabisa yani hupendi utamu wa simba na yanga, je umeshacheza kibaba baba na kimama mama, kombolela, kipande na rede
Bwana unanichosha wallahComfortable, no comfortability haipatikani kitandani bwana
Rede ulikuwa mchezo mzuri sana siku hizi umeanza kupotea
Tangawizi ni kiungo asiliMafua mengine hayaishi kwa tangawizi.....
Vyote pamoja na ukuti ukuti wa mnaziRede Na ulizotaja Bila kusahau mdako nimecheza vyote
Bwana unanichosha wallah
Kupotea hamna, bado upo mbona. Mimi huku kijijini kwetu watoto kila siku wanacheza pamoja na unacho ule mchezo wa kukimbizanaRede ulikuwa mchezo mzuri sana siku hizi umeanza kupotea