zwenge ndaba
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 2,037
- 3,604
ifuatavyo ntabaki mwenyewe mpaka wote waanze kuamkaMshindi n Mimi Na nalala kama ifuatavyo![]()
ifuatavyo ntabaki mwenyewe mpaka wote waanze kuamkaMshindi n Mimi Na nalala kama ifuatavyo![]()
ifuatavyo ntabaki mwenyewe mpaka wote waanze kuamka
Kuamka!!!kwani nani kalula?ifuatavyo ntabaki mwenyewe mpaka wote waanze kuamka
nini kifanyike Ben apatikanekalula ni nini ?
..apatikane???haiwezekani maana hajulikani aliponini kifanyike Ben apatikane
Hapana mimi ni ndessaWewe ni Max
Alipo wanajua waliohusika kumficha au kumpoteza..apatikane???haiwezekani maana hajulikani alipo
Kumpoteza Kiba kwa kumtumia Diamond kwenye bongofleva ni rahisi sana. Ona sasa AFCON 2017Alipo wanajua waliohusika kumficha au kumpoteza
2017 ndo mwisho wa hii threadKumpoteza Kiba kwa kumtumia Diamond kwenye bongofleva ni rahisi sana. Ona sasa AFCON 2017
Thread haina mwisho hii2017 ndo mwisho wa hii thread
..Hii thread tuimalizeni leo
X mass umeandaa nini kwa ajili ya wageniLeo haiwezekani labda siku ya X mass
X mass umeandaa nini kwa ajili ya wageni
karibuni sana kwangu pia.ila nitaandaa makande na chai..hali ngumuWageni watakuwa wengi na wewe ukiwa mmojawapo, kuna kila kitu karibuni sana
Sana sana nawasalimu wote popote ulipo natuma salamu zangu za dhati kabisa, na nikiwatakia maandalizi mazuri ya x-mass igweeeeWageni watakuwa wengi na wewe ukiwa mmojawapo, kuna kila kitu karibuni sana
Igweeeee..... Tusherehekee kumbukumbu ya kuzaliwa Yesu mwokozi kwa salama.Sana sana nawasalimu wote popote ulipo natuma salamu zangu za dhati kabisa, na nikiwatakia maandalizi mazuri ya x-mass igweeee
igweee, we mbona hutoi mwaliko?Sana sana nawasalimu wote popote ulipo natuma salamu zangu za dhati kabisa, na nikiwatakia maandalizi mazuri ya x-mass igweeee