supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,968
Jf ni mtandao mzuri sana japo hatuonani suraValentine ni member wa jf
Jf ni mtandao mzuri sana japo hatuonani suraValentine ni member wa jf
Sura zipo ila sio zetu,wapo walioweka sura zao ila tunaamini sio zaoJf ni mtandao mzuri sana japo hatuonani sura
Zao ni nzuri zaidi kuliko za avatar pichaSura zipo ila sio zetu,wapo walioweka sura zao ila tunaamini sio zao
Picha wengine huzijenga kichwaniZao ni nzuri zaidi kuliko za avatar picha
Kichwani kuna mengi mpaka kichwa kimekuwa kizito, yani ukipew ukibebe huwezi kufika nacho mbali kwa uzitoPicha wengine huzijenga kichwani
Kitanda cha futi 6 kwa 6 hakitoshi kwa mtu mrefuUzito ukizid lazima uvunje kitanda
Mfupi ana sifa nzuri ya kuwa ni mtu mwenye wivuMrefu sifa yake hutokana na kuwepo kwa mtu mfupi
Mshindi atapewa kombeMwisho!!? Wa mwisho ndio mshindi
Mwanzo mwisho mpaka ijulikane hapa hapa nani bingwaBwana supamaketi naona umekomaa na mzigo mwanzo mwisho
Kombe la mbuziMshindi atapewa kombe
Mbuzi akishachunwa ngozi yake inatengenezwa ngomaKombe la mbuzi
Ngoma ya tanga ni baikokoMbuzi akishachunwa ngozi yake inatengenezwa ngoma