amelificha gonjwa mauti yatamfichua.Laibiwa au amelificha
amelificha gonjwa mauti yatamfichua.Laibiwa au amelificha
Yatamfichua hadharani, japo siku hizi kila kitu kimya kimyaamelificha gonjwa mauti yatamfichua.
Kimya chako juu yetu.., ujue Mungu anakuona !!!!Yatamfichua hadharani, japo siku hizi kila kitu kimya kimya
kila kitu kimya kimya j moe aliimba hata party kimya kimya.Yatamfichua hadharani, japo siku hizi kila kitu kimya kimya
anakuona ndiyo maana inakuwa rahisi kwake kukukabili.Kimya chako juu yetu.., ujue Mungu anakuona !!!!
Kimya cha nini kama umeibiwa siuseme.....kila kitu kimya kimya j moe aliimba hata party kimya kimya.
Kukukabili hawezi maana hajakulipa deni lako....anakuona ndiyo maana inakuwa rahisi kwake kukukabili.
si useme watu wanashauri lakini nafsi imefungwa kwa woga.Kimya cha nini kama umeibiwa siuseme.....
Woga mwingi ukizidi hupelekesha kuuguwa kichaa na uendawazimu !!!!si useme watu wanashauri lakini nafsi imefungwa kwa woga.
Wazimu wangu ukinipanda hata nguo nitavuaWoga mwingi ukizidi hupelekesha kuuguwa kichaa na uendawazimu !!!!

uendawazimu wa kichwa tuliitwa watanzania na mzee ruksa tulipogongwa na stella abdijan 2-0.Woga mwingi ukizidi hupelekesha kuuguwa kichaa na uendawazimu !!!!
nitavua vazi la woga nikamfunge paka kengele.Wazimu wangu ukinipanda hata nguo nitavua![]()
![]()
Woga wa nini? Kwanza nimerudi humu nimekuta comment zingizingisi useme watu wanashauri lakini nafsi imefungwa kwa woga.
Zingizingi zimechafuwa hewa......Woga wa nini? Kwanza nimerudi humu nimekuta comment zingizingi
Zingizingi sio kiswahili fasaha sema nyingiWoga wa nini? Kwanza nimerudi humu nimekuta comment zingizingi
Nyingi isipo kadiriwa itapelekesha ufujaji na ubadhirifu !!!Zingizingi sio kiswahili fasaha sema nyingi
Ubadhirifu wa pesa za uma tumeanzisha mahakama ya mafisadiNyingi isipo kadiriwa itapelekesha ufujaji na ubadhirifu !!!
Mafisadi kuisha ni kaziUbadhirifu wa pesa za uma tumeanzisha mahakama ya mafisadi
Kazi kubwa ni kuonana nae uso kwa usoMafisadi kuisha ni kazi
Uso kwa uso kuonana ni nzuri hukata mzizi wa fitinaKazi kubwa ni kuonana nae uso kwa uso