supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,968
Fitina ujanani ukiwa mzee unakuwa mchawiUso kwa uso kuonana ni nzuri hukata mzizi wa fitina
Fitina ujanani ukiwa mzee unakuwa mchawiUso kwa uso kuonana ni nzuri hukata mzizi wa fitina
Mchawi mpe mtoto akuleleeFitina ujanani ukiwa mzee unakuwa mchawi
Akulelee kwani umemzalia yeyeMchawi mpe mtoto akulelee
Akulelee mwanao, ila mie ng'o simpi mtu yeyote....Mchawi mpe mtoto akulelee
Yeye analijua hilo .....Akulelee kwani umemzalia yeye
Yeye ataogopa kumroga sababu umemuachia mtoto wako kwa kujiaminiAkulelee kwani umemzalia yeye
Kujiamini kuna faidaYeye ataogopa kumroga sababu umemuachia mtoto wako kwa kujiamini
Faida yake nini kama huna shida ya kujiamini..😀??Kujiamini kuna faida
D?? Umemaanisha nini kuandika hivyoFaida yake nini kama huna shida ya kujiamini..😀??
Hivyo wewe hunielewi au wanitania mzee wa watu ??D?? Umemaanisha nini kuandika hivyo
Hivyo vialama hata mie sivielewagi kabisaD?? Umemaanisha nini kuandika hivyo
Kabisa hata Mimi.. Zz aje atuambie humaaniaha niniHivyo vialama hata mie sivielewagi kabisa
Nini mpendwa wewe, umeandika lahaja gani hapo juu au ndiyo kikwenu?????Kabisa hata Mimi.. Zz aje atuambie humaaniaha nini
Kikwenu?? Hicho ni kiswahiliNini mpendwa wewe, umeandika lahaja gani hapo juu au ndiyo kikwenu?????
Kiswahili kina kuwa kwa mapana nchi nyingi wanakiongea sasaKikwenu?? Hicho ni kiswahili
Sasa ni jioni muda wa kupata bitesKiswahili kina kuwa kwa mapana nchi nyingi wanakiongea sasa
Bites love kwenye shingo inathibitisha mapenziSasa ni jioni muda wa kupata bites
Mapenzi baina ya wawili wapendanaoBites love kwenye shingo inathibitisha mapenzi
Wapendanao wamevaa nguo nyekundu siku ya valentineMapenzi baina ya wawili wapendanao
Valentine ni member wa jfWapendanao wamevaa nguo nyekundu siku ya valentine