supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,968
Kwenu kumepikwa nini leo naskia harufu ya pilauYangu macho kwenu
Kwenu kumepikwa nini leo naskia harufu ya pilauYangu macho kwenu
Pilau huwa hatuipendi nyumbaniKwenu kumepikwa nini leo naskia harufu ya pilau
Nyumbani kwa jirani yetu kila ijumaa baba asikwambie mtu hata kama ni pilau la samaki, la nyama au viaziPilau huwa hatuipendi nyumbani
Mbali na urefu wa ghorofa lift imeharibika tunapanda kwa ngaziNyumbani kwetu ni mbali
Ngazi, mpaka tufikeMbali na urefu wa ghorofa lift imeharibika tunapanda kwa ngazi
Ngazi ukizipanda ni moja ya zoeziMbali na urefu wa ghorofa lift imeharibika tunapanda kwa ngazi
bado ninajiuliza tatizo ni nyota?Zoezi la hesabu sijalimaliza bado
nini tatizo linaloweza kupatiwa ufumbuzi?au anamaanisha nini?
revolution ni miongoni mwa nyimbo nzuri za hayati bob marley.Ufumbuzi wa Jpm based on industrial revolution
Bob marley mkali wa regerevolution ni miongoni mwa nyimbo nzuri za hayati bob marley.
reggae ni muziki ambao asili yake ni ngoma ya nyabhingi.Bob marley mkali wa rege
Bob Marley alikuwa mtumiaji mzuri sana wa mmearevolution ni miongoni mwa nyimbo nzuri za hayati bob marley.
mmea ule ambao peter tosh aliomba uhalalishwe?Bob Marley alikuwa mtumiaji mzuri sana wa mmea
Shida zake inaharibu akiliUhalalishwe kwa misingi wakati huku uswahilini tunajua shida zake