Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Unapoishia ni wapiUganga na uchawi huanzia pale uwezo wa kufikiri wa binadamu unapoishia
Unapoishia ni wapiUganga na uchawi huanzia pale uwezo wa kufikiri wa binadamu unapoishia
Unapoishia wewe mwenzako yupo mbali zaidi, yeye anatumia trekta wewe unatumia jembeUganga na uchawi huanzia pale uwezo wa kufikiri wa binadamu unapoishia
Wake zao wamesafiriJembe alimtupi mkulima wake
Wake wengi wa vigogo huwa na dharauJembe alimtupi mkulima wake
Dharau, majivuno, kejeli nk ni vya hapa duniani ila ukifa utarudi mavumbiniWake wengi wa vigogo huwa na dharau
Dharau haijengiWake wengi wa vigogo huwa na dharau
Haijengi bali inabomoaDharau haijengi
Inabomoa kama bulldozerHaijengi bali inabomoa
Bulldozer aka JPMInabomoa kama bulldozer
JPM hataki masiharaBulldozer aka JPM
kazi jamani zinafanyika sasa kwenye ofisi za umma.Masihara sio sehemu za kazi jamani
Ofisi za Umma zimezidi kwa kuomba takrimakazi jamani zinafanyika sasa kwenye ofisi za umma.
takrima inawatokea puani awamu hii.Ofisi za Umma zimezidi kwa kuomba takrima
Hii tunaita dogy style managementtakrima inawatokea puani awamu hii.
wakuu ukiondoa jumamosi ya usafi na ya mazoezi zile mbili zilizobaki zina kazi gani?Trakima ndio nini wakuu
management by walking around.Hii tunaita dogy style management